Msaada wa Kisheria

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,913
Points
2,000

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,913 2,000
Uliiba kitu gani Mkuu, mbona uficha ficha? Sasa unataka sisi Wanasheria Wasomi tukushauri vipi ikiwa hutaki kunyoosha maneno??
We acha tu, neno kwa mwanasheria huwa ni moja tu: TELL ME THE TRUTH- Na ndio njia rahisi ya kutoa msaada si vinginevyo. mawakili wengi do escape kesi nyingi baada ya kubaini kuna ukweli mwingine ambao ulikuwa nyuma ya pazia ila alifichwa sasa anaona kama mteja wake anataka kumdhalilisha yeye na taaluma yake. He/she decides to drop the case unabaki unamtafuta wakili mwingine.
 

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,913
Points
2,000

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,913 2,000
Amelipwa mshahara wa MWEZI WA KUMI kabla ya mwezi kufika mwishoni? Hapo kuna tatizo, huyu kuna mengi anaficha hapa. Ni ngumu kupata ushauri mzuri, hasa wa kisheria kwa namna hii.
Nimejaribu na nimejitahidi sana sana maneno napewa nusu nusu baada ya kupewa nusu nyingine ndio nabaini kitu kingine, nafikiri anahitaji kukaa live na msaidizi wa kisheria ili azungumze amsikilize mwanzo mwisho bila kuficha awe muwazi tu
 

Forum statistics

Threads 1,344,041
Members 515,307
Posts 32,805,672
Top