Msaada wa Kisheria

Kwenda kinyume na makubaliano ni kosa! Na sijui ni benki ya aina gani!
Huwa kuna loan security, lolote lile linaloweza kutaka kusababisha upotevu wa pesa za benki huwa wanachukua tahadhari hata kama mnamakubaliano, ukisoma loan agreement utaikuta hiyo, mfano boss wake alienda ku ripoti kuwa huyu mtu tunaweza tusiwe naye tena, lazima Benki ichukue tahadhari kwasababu wameambiwa na trusted person ambaye alithibitisha kuwa huyu ni mfanya kazi
 
Asante sana mkuu, lakini bosi mshahara alipeleka wote ila bank ndiyo waliamua kukata pesa yao yote kama rejesho kutokana na taarifa walizozipata kutoka kwa bosi. Kosa lilitendwa na manager wangu ambaye ni mtu wa karibu sana na mimi, so uchunguzi unafanyika kubaini kama nami nilihusika ama lah. Je bado ninaweza kwenda kufungua kesi ilihali ni bank ndiyo wamekata pesa yote?
Asante
Kama uchunguzi bado unaendelea kwanini wakuombe u resign? nilikutahadharisha kutoripoti ofisini tayari ni summary dismissal yako umejipea mwenyewe. Kwa sasa ukienda mahakamani huwezi shinda mwisho wa siku unaleta picha mbaya kwenye kampuni hata kama wangekuwa na nia njema ya kukurudisha
 
Mkuu kikubwa ni kujua status yake ya ajira sasa hivi ipo vipi.

Amesimamishwa kazi? Kama hajasimamishwa ina maana anaendelea na majukumu yake kazini.

Kuhusu hilo la mshahara, pale ambapo anaona hajatendewa haki na mwajiri hataki kusikiliza malalamiko yake anaweza kuchukua hatua, ikiwemo kwenda kwenye vyombo vyenye dhamana.

Na ndiyo maana hivi vyombo vinavyohusika na utatuzi wa migogoro ya ajira hupatanisha pande mbili zinazosigana ili uzalishaji uendelee smoothly. Usisite kudai haki yako pale inapominywa. Ili mradi tuu internally wameshindwa ku-solve au hawakupi ushirikiano.

Kuna taasisi nyingi zinazotoa legal aid, jaribu LHRC, TAWLA nk
 
Jaffary Neema bado ana mkataba maana yake ajira bado ipo amesema mshahara wa mwezi 10 uliingia benki, yeye ndiye anayeweza kusababisha akafukuzwa kazi kwakuwa kwenye register ya kazini haja saini siku nyingi, hana barua ya kusimamishwa kazi wala kufukuzwa kazi hii ni automatic kwamba bado ni mfanyakazi ila bosi wake akishtuka anaweza hata j3 hiyo kumuandikia barua ya kumuachisha kazi kwa kigezo cha yeye kutofika kazini si ile kesi tena, kwenye swala la mshahara kukatwa achane nako huko kwani si dhahiri alikuwa anadaiwa hamna shida iyo ni Loan security balance, mfano akienda kwenye vyombo vyenye dhamana atasemaje huko kwamba amekatwa mshahara wake halafu aulizwe kwanini si atasema anadaiwa watamuuliza kuan kosa akikubali itabidi afafanue kosa tena ataitwa aliyekata mshahara ataulizwa ujue atasema aliuchukua kwakuwa kazi yake iko rehani maana baada ya neema kufukuzwa kazi kulipa iyo pesa itakuwa ngumu na makubaliano ilikuwa apewe pesa ili awe analipa kupitia mshahara wake na je Neema atwahakikishiaje Benki au mwajiri kuwa atakapokuaw hana iyo kazi ataweza kulipa deni lote? asome mkataba wa ajira na mkataba wa mkopo auelewe vizuri hizo close lazima zinajieleza kwa kina sana.
Nilimshauri aende hatua kwa hatua lazima kutakuwepo na jibu hapo katikati na atajua anaelekea wapi. kuna hatua ngapi za kufuata na kutekeleza nilimshauri akizifuata hizo katikati atakuwa anajua sasa afanye nini kutokana na majibu atakayokuwa anapewa tena kwa maandishi
 
Uko sahihi sana mkuu Mung Chris ,kitendo cha kutokwenda kazini bila ya kusign kwenye register ni kosa kubwa,ingawa kwa maelezo ya mtuhumiwa mpaka mwezi October inaonyesha boss hajaligundua hilo kosa na ndio maana mshahara unaendelea kuingia.Kwa sasa arudi kazini kama ulivyoshauri na awe ana sign kwenye register na kama atazuiliwa kufanya kazi aombe barua ya kumsimamisha kazi then awe anasubiri hatima ya huo uchunguzi.Pia asionyeshe dalili yoyote kuwa kuna taratibu za kisheria anazotaka kuchukua kwani hiyo itamfanya huyo boss kuwa alert na kutafuta taratibu za kummaliza asipate chochote iwapo atabainika na kosa...
 
Unajua akienda kazini halafu akaulizwa na boss wake kwanini siku zote hujaja kazini atajibuje au anatakiwa ajibuje? huo utakuwa ni mtego kwa Neema na kutaka labda kumuadhibu, unajua anatakiwa amjibuje ili awe safe?
 
Asante sana kwa ushauri wako, binafsi sina nia ya kwenda mahakami kwani bado ninalipwa mshahara, nilitaka kujua kama bank wana haki ya kuchukua mshahara wangu wote nje ya makubaliano ya awali ili hali bado sijaachishwa kazi
Kama uchunguzi bado unaendelea kwanini wakuombe u resign? nilikutahadharisha kutoripoti ofisini tayari ni summary dismissal yako umejipea mwenyewe. Kwa sasa ukienda mahakamani huwezi shinda mwisho wa siku unaleta picha mbaya kwenye kampuni hata kama wangekuwa na nia njema ya kukurudisha
 
Kuna taasisi nyingi zinazotoa legal aid, jaribu LHRC, TAWLA
Neema kwenda kwa LHRC, TAWLA bila ya barua yoyote kutoka ofisini kwake hawawezi kumsaidia bali watataka kuandika barua kwenda kwa bosi wake kitu ambacho kinaweza kikamfanya bosi wake kuchukua maamuzi zaidi na kuamua kitu kingine au kuibua kingine ikawa mbaya zaidi ila hatua za kwanza kabisa ni yeye kuzichukua yeye kama yeye ndio mbele ya safari atakuwa na mengine ambayo yatahitaji hatua zaidi au itakuwa mwisho wa swala hili.
 
Nikitulia nitaweka details zingine labda zinaweza kukupa mwanga zaidi katika kunishauri
Jaffary Neema bado ana mkataba maana yake ajira bado ipo amesema mshahara wa mwezi 10 uliingia benki, yeye ndiye anayeweza kusababisha akafukuzwa kazi kwakuwa kwenye register ya kazini haja saini siku nyingi, hana barua ya kusimamishwa kazi wala kufukuzwa kazi hii ni automatic kwamba bado ni mfanyakazi ila bosi wake akishtuka anaweza hata j3 hiyo kumuandikia barua ya kumuachisha kazi kwa kigezo cha yeye kutofika kazini si ile kesi tena, kwenye swala la mshahara kukatwa achane nako huko kwani si dhahiri alikuwa anadaiwa hamna shida iyo ni Loan security balance, mfano akienda kwenye vyombo vyenye dhamana atasemaje huko kwamba amekatwa mshahara wake halafu aulizwe kwanini si atasema anadaiwa watamuuliza kuan kosa akikubali itabidi afafanue kosa tena ataitwa aliyekata mshahara ataulizwa ujue atasema aliuchukua kwakuwa kazi yake iko rehani maana baada ya neema kufukuzwa kazi kulipa iyo pesa itakuwa ngumu na makubaliano ilikuwa apewe pesa ili awe analipa kupitia mshahara wake na je Neema atwahakikishiaje Benki au mwajiri kuwa atakapokuaw hana iyo kazi ataweza kulipa deni lote? asome mkataba wa ajira na mkataba wa mkopo auelewe vizuri hizo close lazima zinajieleza kwa kina sana.
Nilimshauri aende hatua kwa hatua lazima kutakuwepo na jibu hapo katikati na atajua anaelekea wapi. kuna hatua ngapi za kufuata na kutekeleza nilimshauri akizifuata hizo katikati atakuwa anajua sasa afanye nini kutokana na majibu atakayokuwa anapewa tena kwa maandishi
 
Asante sana kwa ushauri wako, binafsi sina nia ya kwenda mahakami kwani bado ninalipwa mshahara, nilitaka kujua kama bank wana haki ya kuchukua mshahara wangu wote nje ya makubaliano ya awali ili hali bado sijaachishwa kazi
Bosi wako amesha kuchomekea kule na yeye ali sign barua moja wapo cha msingi uwe mpole tu mpaka benki watakapo maliza mkopo wao ili uwe salama, leo hii ukiachishwa kazi je kuna mbadala wa kulipa deni la Benki? kama ndio sawa ila kama hamna kwa haraka basi ujue benki watakufuatilia mpaka wachukue thamani zako kufidia deni, waache tu benki wafanye wanalotaka maana kuna mtu kawashtua kuwa pesa zao zinaweza zikapotea, usichokoze huko benki, hata benki wana uwezo wa kukuomba uwalipe pesa zao zote kupitia chanzo chako kingine cha mapato maana watasema you are suspitious na hawako tayari kupoteza pesa zao za mkopo walizokupa wanaweza wakatangaza hali ya hatari kwako kuwa wamepata fununu kuwa unataka kutoroka na mkopo wao lazima wakushikilie. ushauri wangu usiwachokonoe Benki waache hadi hapo mkopo wao utakuwa umeisha.
 
Unajua akienda kazini halafu akaulizwa na boss wake kwanini siku zote hujaja kazini atajibuje au anatakiwa ajibuje? huo utakuwa ni mtego kwa Neema na kutaka labda kumuadhibu, unajua anatakiwa amjibuje ili awe safe?
Hapana mkuu,hebu nisaidie kumjibia...
 
Uko sahihi sana mkuu Mung Chris ,kitendo cha kutokwenda kazini bila ya kusign kwenye register ni kosa kubwa,ingawa kwa maelezo ya mtuhumiwa mpaka mwezi October inaonyesha boss hajaligundua hilo kosa na ndio maana mshahara unaendelea kuingia.Kwa sasa arudi kazini kama ulivyoshauri na awe ana sign kwenye register na kama atazuiliwa kufanya kazi aombe barua ya kumsimamisha kazi then awe anasubiri hatima ya huo uchunguzi.Pia asionyeshe dalili yoyote kuwa kuna taratibu za kisheria anazotaka kuchukua kwani hiyo itamfanya huyo boss kuwa alert na kutafuta taratibu za kummaliza asipate chochote iwapo atabainika na kosa...
Siku nakuja kuchukuliwa nilikuwa ofisini naendelea na kazi, polis wakaenda kwa bosi na kumwambia kuwa katika upelelezi wao wanaomba wanichuke na mimi, hapo ndiko nikaondoka nao mpaka kituoni. Nikaa ndani kwa siku 3 then nikapata dhamana. Nilipotoka nika mtumia bosi sms kumuuliza kama kesho yake niende kazini, akasema niende kuonana na mwanasheria wake huko nitapewa utaratibu, akanipa namba ya huyo mwanasheria.
Nilipofika huko huyo mwanasheria akasema kuwa nina two options, either nili sign mwenyewe na kupata haki zangu zote ama kampuni ini terminate. Nikaomba muda wa kufikiria, nikaomba kukutana naye ili nimpe uamuzi wangu. Siku nakutana naye bosi wangu pia alikuja, nikawapa msimamo kuwa mimi sina kosa so kama wao wanaona nina kosa basi wani terminate. Siku wameniita kuchukua hiyo termination letter nikakuta imeandikwa 'Mutual Agreement ' yani mimi na kampuni tumeamua kwa pamoja, nikakataa ku sign na kuwaambia waniandikie barua ya termination kuwa wao ndiyo wanani terminate. Wakadai njia hiyo inachukua mda mrefu na process ni nyingi. So wakasema basi hawana jinsi watafanya hizo process then watani terminate. So mpaka sasa sijaitwa tena.
Cc : Mung Chris
 
Sawa kaka, kweli Bank sina haja ya kuwa chokonoa kwani hata hivyo pesa yao iliyobaki ni kidogo sana baada ya kuwa wamechukua mshahara wangu wote. Kwa sasa wanahitaji nusu tu ya mshahara wangu wa mwez huu kumaliza deni lao.
Hii kesi ilianza na mfanyakazi ambaye alikuwa manager wangu kama nilivyosema awali, baadae nami nikahusishwa ambapo mpaka sasa kesi ina miezi mitatu bado iko polis.
Bosi wako amesha kuchomekea kule na yeye ali sign barua moja wapo cha msingi uwe mpole tu mpaka benki watakapo maliza mkopo wao ili uwe salama, leo hii ukiachishwa kazi je kuna mbadala wa kulipa deni la Benki? kama ndio sawa ila kama hamna kwa haraka basi ujue benki watakufuatilia mpaka wachukue thamani zako kufidia deni, waache tu benki wafanye wanalotaka maana kuna mtu kawashtua kuwa pesa zao zinaweza zikapotea, usichokoze huko benki, hata benki wana uwezo wa kukuomba uwalipe pesa zao zote kupitia chanzo chako kingine cha mapato maana watasema you are suspitious na hawako tayari kupoteza pesa zao za mkopo walizokupa wanaweza wakatangaza hali ya hatari kwako kuwa wamepata fununu kuwa unataka kutoroka na mkopo wao lazima wakushikilie. ushauri wangu usiwachokonoe Benki waache hadi hapo mkopo wao utakuwa umeisha.
 
Siku nakuja kuchukuliwa nilikuwa ofisini naendelea na kazi, polis wakaenda kwa bosi na kumwambia kuwa katika upelelezi wao wanaomba wanichuke na mimi, hapo ndiko nikaondoka nao mpaka kituoni. Nikaa ndani kwa siku 3 then nikapata dhamana. Nilipotoka nika mtumia bosi sms kumuuliza kama kesho yake niende kazini, akasema niende kuonana na mwanasheria wake huko nitapewa utaratibu, akanipa namba ya huyo mwanasheria.
Nilipofika huko huyo mwanasheria akasema kuwa nina two options, either nili sign mwenyewe na kupata haki zangu zote ama kampuni ini terminate. Nikaomba muda wa kufikiria, nikaomba kukutana naye ili nimpe uamuzi wangu. Siku nakutana naye bosi wangu pia alikuja, nikawapa msimamo kuwa mimi sina kosa so kama wao wanaona nina kosa basi wani terminate. Siku wameniita kuchukua hiyo termination letter nikakuta imeandikwa 'Mutual Agreement ' yani mimi na kampuni tumeamua kwa pamoja, nikakataa ku sign na kuwaambia waniandikie barua ya termination kuwa wao ndiyo wanani terminate. Wakadai njia hiyo inachukua mda mrefu na process ni nyingi. So wakasema basi hawana jinsi watafanya hizo process then watani terminate. So mpaka sasa sijaitwa tena.
Cc : Mung Chris
Huoni hapa umefunguka na umekuwa muwazi kidogo japo sio sana, Swali kwanini walitaka wabadilishe mutual agreement i replace mkataba? kuna jambo, kuna swali ningependa kujua tena kwa undani kidogo kwanza je uliwahi kuwa na mahusiano na huyo bosi wako badae yakavunjika, au ulisha tongozwa na bosi wako ukakataa kabisa? bado hawajawa na sababu ya kukuachisha kazi maana hawana base yoyote kwa sasa ila base inayochungulia dirishani ni ile ya kuto ripoti kazini, wewe kwenda kazini haikuwa swala la kumuuliza bosi wako ilikuwa ni jukumu lako kwenda tu, Mwanasheria kakudanyanga eti uki resign utapata benefit zako, iko hivi uki resign tu basi madeni yote yanakatwa kwenye mshahara unaofuata, sasa hapo utachagua moja, either kuwa unaenda kushinda kazini ku ripoti mpaka hapo watakapokuwa wamekupa termination letter ili kuepuka swala la kutoripoti kazini lisikukute
 
Bosi wangu hajawahi kamwe kunitongoza achilia mbali kunionyesha ishara ya kunitaka, he is from England, hawa watu huwa na heshima kwa wafanyakazi wao pamoja na wake zao

Wakupe ripoti ya Police investigation watakuwa tayari wanayo au wameshapewa, mbona anakuwa kama mbongo hivyo kukuzungusha badala ya kuwa open kwa majibu ya polisi. zile recommendation za polisi zile kama inawezekana uzijue.
 
Uliiba kitu gani Mkuu, mbona uficha ficha? Sasa unataka sisi Wanasheria Wasomi tukushauri vipi ikiwa hutaki kunyoosha maneno??
 
Jaffary Neema bado ana mkataba maana yake ajira bado ipo amesema mshahara wa mwezi 10 uliingia benki, yeye ndiye anayeweza kusababisha akafukuzwa kazi kwakuwa kwenye register ya kazini haja saini siku nyingi, hana barua ya kusimamishwa kazi wala kufukuzwa kazi hii ni automatic kwamba bado ni mfanyakazi ila bosi wake akishtuka anaweza hata j3 hiyo kumuandikia barua ya kumuachisha kazi kwa kigezo cha yeye kutofika kazini si ile kesi tena, kwenye swala la mshahara kukatwa achane nako huko kwani si dhahiri alikuwa anadaiwa hamna shida iyo ni Loan security balance, mfano akienda kwenye vyombo vyenye dhamana atasemaje huko kwamba amekatwa mshahara wake halafu aulizwe kwanini si atasema anadaiwa watamuuliza kuan kosa akikubali itabidi afafanue kosa tena ataitwa aliyekata mshahara ataulizwa ujue atasema aliuchukua kwakuwa kazi yake iko rehani maana baada ya neema kufukuzwa kazi kulipa iyo pesa itakuwa ngumu na makubaliano ilikuwa apewe pesa ili awe analipa kupitia mshahara wake na je Neema atwahakikishiaje Benki au mwajiri kuwa atakapokuaw hana iyo kazi ataweza kulipa deni lote? asome mkataba wa ajira na mkataba wa mkopo auelewe vizuri hizo close lazima zinajieleza kwa kina sana.
Nilimshauri aende hatua kwa hatua lazima kutakuwepo na jibu hapo katikati na atajua anaelekea wapi. kuna hatua ngapi za kufuata na kutekeleza nilimshauri akizifuata hizo katikati atakuwa anajua sasa afanye nini kutokana na majibu atakayokuwa anapewa tena kwa maandishi
Amelipwa mshahara wa MWEZI WA KUMI kabla ya mwezi kufika mwishoni? Hapo kuna tatizo, huyu kuna mengi anaficha hapa. Ni ngumu kupata ushauri mzuri, hasa wa kisheria kwa namna hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom