Msaada wa Kisheria

Neemandandika

Member
Joined
Aug 25, 2014
Messages
29
Points
45

Neemandandika

Member
Joined Aug 25, 2014
29 45
Habarini wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.

Mimi nimejiriwa katika kampuni binafsi, hapo nyuma kumetokea tatizo kazini hivyo mimi na wenzangu watatu tuna kesi polisi na polisi wanaendelea na uchunguzi wao.

Mwenzangu mmoja yeye amekubali ku resign na mwingine alikuwa ameshaacha kazi. So ishu imebaki mimi kwani bado sijaridhia ku resign.

Mshahara wa mwezi August 2019 bosi alikata pesa yake yote aliyokuwa ananida tofauti na makubaliano ya kukata kidogo kwa awamu tatu, hii ilikuja ghafla baada ya kuona nina kesi ambapo alitarajia ningekutwa na hatia hivyo anifukuze kazi ilihali yeye amekwisha chukua chake.

So pesa kidogo iliyobaki ndiyo akaipeleka bank kama mshahara wangu na kuwaambia bank kuwa mimi nina kesi hivyo wafanye juhudi ya kupata pesa zao kwani soon angenifukuza kazi.

Bank walikatapesa yao hivyo mimi mwezi huo sikupata hata senti. Tofauti na matarajio ya bosi kesi bado iko polisi hivyo imemlazimu kunilipa tena mshahara wa September-2019 ambapo alipeleka mshahara wote bank, bank wamezuia pesa zote na nilipotaka kujua kwa nini wamezuia nikajibiwa bosi wangu kawapa taarifa kuwa hana uhakika kama anilipa tena mshahara mwingine kwani naweza kutwa na hatia hivyo kufukuzwa kazi. So na mwezi huu sijapata kitu.

Kisheria bado ni mfanyakazi wa hiyo kampuni hivyo siruhusiwi kufanya kazi sehemu nyingine.

Utata ni
1: Je bank wanahaki ya kukata pesa zangu zote?

2: Je bosi wangu anaruhusiwa kuwapa bank hizo taarifa bila hata mimi kunihusisha ilihali hata kesi mahakamani haijafika?

Wakuu wapi naweza pata/peleka swala langu hili kupata msaada wa kisheria kama jambo hili nimeonewa ama lina make sense.

Asanteni
 
Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,913
Points
2,000

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,913 2,000
Habarini wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo langu,
Mimi nimejiriwa katika kampuni binafsi, hapo nyuma kumetokea tatizo kazini hivyo mimi na wenzangu watatu tuna kesi polisi na polisi wanaendelea na uchunguzi wao. Mwenzangu mmoja yeye amekubali ku resign na mwingine alikuwa ameshaacha kazi. So ishu imebaki mimi kwani bado sijaridhia ku resign.
Mshahara wa mwezi August 2019 bosi alikata pesa yake yote aliyokuwa ananida tofauti na makubaliano ya kukata kidogo kwa awamu tatu, hii ilikuja ghafla baada ya kuona nina kesi ambapo alitarajia ningekutwa na hatia hivyo anifukuze kazi ilihali yeye amekwisha chukua chake. So pesa kidogo iliyobaki ndiyo akaipeleka bank kama mshahara wangu na kuwaambia bank kuwa mimi nina kesi hivyo wafanye juhudi ya kupata pesa zao kwani soon angenifukuza kazi. Bank walikatapesa yao hivyo mimi mwezi huo sikupata hata senti. Tofauti na matarajio ya bosi kesi bado iko polisi hivyo imemlazimu kunilipa tena mshahara wa September-2019 ambapo alipeleka mshahara wote bank, bank wamezuia pesa zote na nilipotaka kujua kwa nini wamezuia nikajibiwa bosi wangu kawapa taarifa kuwa hana uhakika kama anilipa tena mshahara mwingine kwani naweza kutwa na hatia hivyo kufukuzwa kazi. So na mwezi huu sijapata kitu.
Kisheria bado ni mfanyakazi wa hiyo kampuni hivyo siruhusiwi kufanya kazi sehemu nyingine.
Utata ni
1: Je bank wanahaki ya kukata pesa zangu zote?
2: Je bosi wangu anaruhusiwa kuwapa bank hizo taarifa bila hata mimi kunihusisha ilihali hata kesi mahakamani haijafika?
Wakuu wapi naweza pata/peleka swala langu hili kupata msaada wa kisheria kama jambo hili nimeonewa ama lina make sense.
Asanteni
Neemandandika pole sana, kwanza kabla sijakupa majibu ya haya bado kuna maswali ya kukuuliza ukiyajibu ndio tutakusaidia kwa ushauri. 1. Ulikuwa unadaiwa na ofisi? 2. Uliwahi chukua mkopo wa Benki je mwajiri ndiye aliyekuwa mmoja wa wadhamini wako ku saini kwenye fomu ya maombi ya mkopo wa benki? 3. Umebakisha siku ngapi ili mkatabawako wa kazi uwe umeisha? jibu kwanza ila kabla ya kufika mbali sana kumbuka wanasheria wengine pia huwa wanataka pesa uwalipe wakikuahidi kusimamia kesi yako katikati ya kesi huwa wanajiondoa unambaki na kesi na pesa zimeshachukuliwa. jibu hayo maswali yangu ndio niendelee.
 
Neemandandika

Member
Joined
Aug 25, 2014
Messages
29
Points
45

Neemandandika

Member
Joined Aug 25, 2014
29 45
Asante sana ndugu Mung Chris
Kifupi nilikuwa nimekopa Bank mkopo wa miezi kumi ambao ulipaswa uishe mwezo huu yani October 2019, ilipofika mwezi August 2019 nikachukua mkopo ofisini ambao nilitakiwa nikatwe kwa miezi 3 yani hiyo August, September na October 2019. Matatizo yalitokea hiyo hiyo August na bosi akaamua kukata pesa yote kwa mara moja ambapo ilisababisha mpaka rejesho la bank kupelea kwa kama 40,000/=.
Kwenye mkopo wa Bank bosi siyo mdhamini wangu lakini ali sign kwenye ile barua wanyoita letter of Comfort(sina uhakika sana jina hili). Mkuu kama vitu vingine ungependa kujua usisite kuniuliza

Sasa iko hivi, kwanza huajasema mkataba wako wa kazi unaisha lini, unaposaini mkataba wa ofisi ujue tu kwamba ofisi inaweza ika terminate mkataba wako muda wowote utakapo patikana una makosa ambayo utaratibu wa kuhojiwa umefuatwa na ukaonekana kuna makosa, inategemea wanaweza wakakusamehe au hapana, mara nyingi ofisi inaangalia security ya mali zao na fedha zao, Benki kuisainisha ofisi barua ili wakupe hela ilikuwa ni kujiridhisha kuwa wewe ni mfayakazi pale na mwajiri wako awahakikishie kuwa mkopo ule utaweza kulipwa kutokana na mshahara unao upata, mabenki mengi huwa yanawaomba waajiri kuwasaidia na taarifa pale ambapo kutakuwa na tatizo ili wasipoteze dedha zao, ofisi nyingi ukipatwa na kitu huwa wanakusimamisha kazi kwanza hadi hapo uchunguzi utakapo malizika ila wao huwa wanataswira ya kesi iliyopo kuwa either utapona au hutapona sasa wanacho kifanya ni kuzuia kwanza mshahara wako endapo una daiwa na ofisi hata mafao yako ili ikitokea umetoka salama watakulipa mishahara yako yote na mafao ambayo yalikuwa yamezuiliwa. ofisi kuzuia mshahara kwa sababu una makosa na umesimamishwa kazi na uchunguzi unaendelea inaweza ikawa sawa au isiwe sawa kwanini: kwasababu wao wanahisi unaweza ukaamua kukimbia kwakuwa una makosa na ukawa umeshapokea mishahara yako yote, kwa usalama zaidi wanazuia mishahara ili wajilipe madeni kwakuwa una matatizo kazini na wakuachie mshahara ambao utakuwa hudaiwi, boss wako kuongea na benki wakate deni ni kutokana na wao kuwahakikishia kuwa awali walikukabidhi kwao ukopeshwe ila kwa sasa hawako tena na wewe na hawataki kuulizwa badae.
Sasa iko hivi ukiona bossi ana Loby kuwa u resign usiendelee na kazi ni kosa kubwa sana maana yake wanaona iyo kesi utaishinda na ukishinda unaweza ukaishitaki ofisi kwa kuku chafua hata hivyo ukiwa nje bado tu unaweza ukawashtaki so hawataki uinshinde ukiwa upo kazini kwa sababu kuna mambo ya hapo kazini walikuwa wamesha ku exclude hawataki uendelee.

Ushari 1.Acha wafanye wanayo yafanya kesi ikiisha maana utakuwa na ushahidi wa kesi kuisha na hukuwa na hatia ndio uanze kufuatilia mafao yako ambayo utakuwa uliyapoteza ili urudishiwe 2. kama mkataba utaisha kabla ya kesi kumalizika na mishahra yako yote hukuipata basi watakulipa yote kwa wewe kuandika barua ya kuomba ulipwe mishahara yote maana bado ulikuwa ni mtumishi, japokuwa kuna terms za kwenye mkataba ambazo zinaweza zikasema kuwa mtu akiwa na matatizo na ofisi atasimamishwa na atavumiliwa kwa kipindi flan na baada ya hapo ataachishwa kazi kwa lazima, hilo ni la kuangalia. 3. Boss wako alitakiwa aendelee na mkataba wa kukata pesa zako kwa utaratibu ambao mlio jiwekea maana bado ni mfanyakazi sio lazima akate wote kulazimishwa mu resign ilikuwa ni njia ya kukutoa kwenye reli na pesa za ofisi azipate zote kwa pamoja. kwasasa usimshitaki bosi wako maana hutashinda kwa sababu bado kama mkataba wako uko hai na kesi haijaisha lazima atakushinda hapa ni kwenda taratibu sana umalizie kesi Loby na wewe kesi iishe haraka ili uanze kudai haki zako, mfano kama uliahidiwa baada ya kipindi flan unatakiwa upate kitu flan na hujapata kwakuwa ulisimamishwa kazi...

USIMSHTAKI BOSS WAKO KWANZA ACHA, medeni ya benki na kwa mwajiri wako acha wachukue ni pesa zao wanahaki ya kuzihitaji muda wowote wanapoona kua inafaa kutokana na misukosuko ambayo wanaona inaweza ikasababisha hasara kwao. subiri kesi iishe.
 
Mkuu kwanza asante kwa kutumia muda wako kinijibu na kunifafanulia, nasema asante sana, pia nilisahau kusema kuwa mkataba wangu kwao ni wa kudumu. Ila pia kama ukitaka kujua nini hasa kilitokea naweza kukuambia kwani ni ishu ya maswala ya hati miliki ya software engineering
 
Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,913
Points
2,000

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,913 2,000
Mkuu kwanza asante kwa kutumia muda wako kinijibu na kunifafanulia, nasema asante sana, pia nilisahau kusema kuwa mkataba wangu kwao ni wa kudumu. Ila pia kama ukitaka kujua nini hasa kilitokea naweza kukuambia kwani ni ishu ya maswala ya hati miliki ya software engineering
ukiwa na mkataba wa kudumu there is no way unaweza ukalazimishwa u resign anayekulazimisha u resign ni mtu mbaya sana kwako anajaribu kukuogopesha maana hataki akuone tena ofisini kwake, sasa nambie kilichojiri na usikubali ku resign kwa sasa umerudi kaini au umeamua upoteze haki zako
 
Neemandandika

Member
Joined
Aug 25, 2014
Messages
29
Points
45

Neemandandika

Member
Joined Aug 25, 2014
29 45
Mpaka sasa sijakubali ku resign , mwanzoni nikuwa napewa mkataba wa 2 years na baadae nikapewa mkataba wa permanent mkuu, ndiyo maana si kuwa nililazimishwa ila nilishawishiwa nami nikakataa
ukiwa na mkataba wa kudumu there is no way unaweza ukalazimishwa u resign anayekulazimisha u resign ni mtu mbaya sana kwako anajaribu kukuogopesha maana hataki akuone tena ofisini kwake, sasa nambie kilichojiri na usikubali ku resign kwa sasa umerudi kaini au umeamua upoteze haki zako
 
Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,913
Points
2,000

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,913 2,000
Mpaka sasa mwezi umepita,lakini kesi kama kesi kwangu ni miezi miwili mkuu
Miezi 2 ndio iwepo polisi kweli? au tuseme ofisi iliwaomba polisi wafanya investigation na wawape majibu ila nia ya ofisi sio kuipeleka mahakamani na si ajabu imebainika kuwa hamna hatia sasa wanaona aibu kutangaza ila wanawashawishi muache kazi wenyewe waepuke mengi haya. Unaendelea na kazi? bado umesimamishwa huendi kazini walikupa barua ya kusimamishwa kazi?
 
Forum statistics

Threads 1,344,036
Members 515,307
Posts 32,805,587
Top