frank gallagher
Senior Member
- Jan 12, 2019
- 124
- 125
Habari
Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin february then march ikatolewa notisi nyingine ya kusitisha mradi wa afya endelevu,ambao mwajiri ambae ni benjamin mkapa akatoa notes trh28/4/2025 kwa wafanyakazi kuwa kufikia mwezi wa 5 mradi utasitishwa wafanyakazi wa huo mradi achishwa kazi mfadhili ametoa idhini ya mwisho trh 31/5/2025
Trh 28/5/2025 tulikaa kikao cha mashauriano kati ya wafanyakazi na mwajiri na mwanasheria wa benjamin ambapo alituambia stahiki tunazotakiwa kupewa ikiwemo mshahara wa mwez wa 5,kiinua mgongo,nauli,gratuity na tukasaini mkataba wa makubaliano ya kikao ikiahidi kuwa stahiki zetu zitalipwa mda mfupi baada ya kusaini makubaliano ikiwepo kupewa certiface of services na barua ya kuachishwa kazi lakini mpaka leo hatujalipwa stahiki zetu ikiwemo mshahara wa mwisho wa mwez wa 5 tukiulizia kwa mwajiri anasema hajapewa hela bado na donor
Sheria zip za kufata kudai stahiki zako kwa mwajiri?maana ni mwez mmoja umepita,record za mashauriano kwa njia ya zoom zipo