Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Mimi ni mfanya biashara mwenye chin ya miaka 25 kwa sasa biashara zangu zinaenda tu fresh ukizangatia na saiz wafanya biashara tumekuwa wachache sana sio kama zaman

Sasa bas kuna milion kumi na tano yangu iko bank nimeiweka yaan kila baada ya mda flan huwa naogeza milion moja au laki kadhaa bank lakin inategemea na biashara itakavyosimama kwa mwez au kwa week

Nina viwanja viwili kwa sasa sina nyumba wala gar nimepanga na mishe mishe zangu huwa napiga kwa kupanda gar

Sasa bas naomba ushaur wenu wadau je nijenge nyumba au ninunue gar ili nirahisishe mishe mishe yangu kwa town

Naomben ushaur naogopa kunuua gar wakat nimepanga nahis ndugu wataniona rofa lakin mimi mwenyewe ni sharo kinoma kamoyo kangu kanataka gar

Nawasilisha

LONDON BABY
Nikupongeze kwanza kwa hatua ambayo umefikia kiongozi. Hongera sana. Mimi nakushauri uangalie sana sana pesa hiyo itakusaidiaje kuzikamilisha ndoto zako kwa hiyo kama unaona kumiliki gari kutasaidia katika mizunguko ya biashara basi nunua....hapo utalitazama hilo kama tool of business.....lakini kama unataka kununua gari kwa matumizi tu binafsi itakuwa si vyema kwa sasa hivyo chukua hiyo pesa na anza ujenzi na kwa kuwa ana habit ya kusave hata hiyo 15M haitatosha kwenye ujenzi utakua unaongeza kidogo kidogo mpaka umalize.
 
Jenga kwanza nyumba ya kawaida tu ya kuishi.ikiwezekana hata ya kupangisha Then nunua gari. Biashara haitabiriki wakati wowote inabadilika. Utabakiwa na nyumba. Utakula kodi wakati unafikiria nn cha kufanya. Nyumba asset sio gari ndgu,
 
Mkuu nataka ninunue verossa nilipata ya 12 milion
Itapata ajali, itaharbika utavunjija na biashara tena basi. Jenga kwanza ndio akili, Tokea kwako nenda kazini ndio heshima, kuna baba mwenye nyumba hakuna baba mwenye gari.
 
Kweli unahitaji msaada wa kimawazo. Utanunuaje gari huna mahali pa kuipaki?? Mwenye nyumba ukamwombe ujenge gereji ya kulaza gari au ukailaze ofisi ya ccm mtaa wa 4 kutoka nyumbani!! Yataka moyo.
Ushauri;
Jenga nyumba kwanza, weka frem nzuri mbili au tatu. Wapo watakao pangisha ka unavyo pangisha na nyingine tumia wewe. Mola akijalia, weka na sehemu ya gereji kwenye jengo lako. Utakuja ingiza gari siku moja kwako sio kwa mtu.
Akili za kuambiwa changanya na zako. Biashara haitabiriki. Inabadilika wakati wowote. Utaishi kwenye gari? Nyumba na gari kipi ni asset.? Nyumba inapanda kila kukicha sio gari kitendo cha kuitoa showroom tu. inashuka thamani.
 
nunua gari..maana unaweza kulala kwenye gari lakini huwezi kuendesha nyumba
 
Ukinunua gari hakuna atakaejua kwamba huna nyumba hata kama umepanga, ila ukipanda daladala ni wazi huna gari, na obviously hata nyumba pia huna.
Nunua gari, itakusaidia kujenga hiyo nyumba kwa urahisi.
 
Kweli unahitaji msaada wa kimawazo. Utanunuaje gari huna mahali pa kuipaki?? Mwenye nyumba ukamwombe ujenge gereji ya kulaza gari au ukailaze ofisi ya ccm mtaa wa 4 kutoka nyumbani!! Yataka moyo.
Ushauri;
Jenga nyumba kwanza, weka frem nzuri mbili au tatu. Wapo watakao pangisha ka unavyo pangisha na nyingine tumia wewe. Mola akijalia, weka na sehemu ya gereji kwenye jengo lako. Utakuja ingiza gari siku moja kwako sio kwa mtu.
Mawazo ya kimaskini na kiuoga sijapata ona, gari ni nyenzo muhimu itakayo kusaidiia kujenga
 
Kesho mtoa post ataandika amemaliza chuo anatafuta kazi!vijana wa humu Jf aisee!

uko sahii kabisa mkuu,ushahidi ni huu hapa, mwanzo alituambia ana miliki verossa,leo anasema anataka kununua gari

Beira Baby BoyJF-Expert Member
#1
Nov 16, 2017

Joined: Aug 7, 2016
Messages: 9,390

Likes Received: 8,212

Trophy Points: 280
New
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana

Nilimuona mama wa makamo akishuka kwenye gar lake aina ya NADIA tulikutanisha macho nikatabasam naye akatabasam vile vile, nilimpa hai YES MOMY akasema WARAP BOY nilimfuata nikamuomba namba yake ya cm akanipa then mimi nikaingia bank kupeleka mapene marefu

sikutaka hata kumuchelewa nilimpiga mistar aingia lain nikawa nampiga chuma kama kawa licha ya kunizid umur, nilianz kuwa naenda had kwake, nyumban kwake kulikuwa na mabinti wawili wakali kinoma

Yule binti mmoja alinizoea zoea nikambandua na yule wa pili naye alinizoea nikamdundua pia kulikuwa kuna dada wa kaz pale home naye pia nilimbandua

Kwa sasa niko kwenye hali mbaya sana maana kuanzia yule mama na wale watoto wake wawili pamoja na yule dada wa kaz wote wana mimba na wote wanadai mimi ndo mwenye hiyo mizigo

Yaan hiyo inaitwa nimekula kuku na mayai yake

Naomben ushaul wenu

LONDON BABY
 
Mkuu nataka ninunue verossa nilipata ya 12 milion
Mkuu take care inategemea na uwezo wako.Verosa ni gari zuri sana kwa mtizamo wa nje na hata ndani.Ila cc zake ni kubwa inakula mafuta sana.Mahali ambapo ungetumia laki moja na nusu kuweka mafuta kwenda mikoani kwa Carina SI Verosa utatumia laki tatu na nusu.Ni gari zuri sana mi naipenda ila angalia na uwezo wako.Kama hela zako ni za mawazo mawazo kutegemea mshahara tu tafuta alternative watoto wako wasije kosa ada.Kama uko njema kidogo bro usisite ivute haraka sana
 
uko sahii kabisa mkuu,ushahidi ni huu hapa, mwanzo alituambia ana miliki verossa,leo anasema anataka kununua gari

Beira Baby BoyJF-Expert Member
#1
Nov 16, 2017

Joined: Aug 7, 2016
Messages: 9,390

Likes Received: 8,212

Trophy Points: 280
New
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana

Nilimuona mama wa makamo akishuka kwenye gar lake aina ya NADIA tulikutanisha macho nikatabasam naye akatabasam vile vile, nilimpa hai YES MOMY akasema WARAP BOY nilimfuata nikamuomba namba yake ya cm akanipa then mimi nikaingia bank kupeleka mapene marefu

sikutaka hata kumuchelewa nilimpiga mistar aingia lain nikawa nampiga chuma kama kawa licha ya kunizid umur, nilianz kuwa naenda had kwake, nyumban kwake kulikuwa na mabinti wawili wakali kinoma

Yule binti mmoja alinizoea zoea nikambandua na yule wa pili naye alinizoea nikamdundua pia kulikuwa kuna dada wa kaz pale home naye pia nilimbandua

Kwa sasa niko kwenye hali mbaya sana maana kuanzia yule mama na wale watoto wake wawili pamoja na yule dada wa kaz wote wana mimba na wote wanadai mimi ndo mwenye hiyo mizigo

Yaan hiyo inaitwa nimekula kuku na mayai yake

Naomben ushaul wenu

LONDON BABY
Jana ilikuwa tarehe 1 december ni siku ya UKIMWI duniani.Dunia ya leo ukiona mtu anajiona kijogoo kagonga hapa na pale anataka apate ujiko ni wa kumuombea kama ni ndugu yako funga kwa maombi mungu amrudishe kwenye mstari shetani amuachie shati alilomng'ang'ania
 
Mawazo ya kimaskini na kiuoga sijapata ona, gari ni nyenzo muhimu itakayo kusaidiia kujenga
DADON kwa upande mwingine naweza kubaliana na wewe.Miaka ya nyuma tulikuwa tunacheka eti mtu utakuwaje na gari huna nyumba?.Kwa wakati ule ilikuwa sahihi kabisa.Sasa dunia hasa Dar imebadilika kiwanja tu kupata ni issue unaambiwa milioni kadhaa.Na ukipata ukijenga huna hakika kuwa utabomolewa.Dar haina master plan ya uhakika.Tulikuwa tunasikia ulaya watu hawajengi nyumba ardhi hakuna mfano London ni vigumu kusikia mtu anajenga.Makampuni yajenga wewe unanunua nyumba.Au unaishi kwenye nyumba kwa lease labda ya miaka99 au national housing kama watanzania wenzetu wenye asili ya Asia.Uliona wapi mhindi akajenga Manzese? lakini unakuta ana gari na mawasiliano hapo amemaliza.Tofauti ya nyumba na gari ni kuwa gari unanunua mara moja unasahau lakini nyumba unaweza jenga taratibu hata kwa miaka15.Kikubwa umeweka paa usinyeshewe na mvua na madirisha na milango.Akili kichwani mwako changanya na ushauri bro amua kitu cha uhakika.Tumefikia kama Nairobi,Londona na New York
 
Hiyo pesa haitosh gar wala Nyumba, take my advice nenda kalime mpunga after six months utakuwa na mil80 , hapo utachukua Klugger ya mil20 , ingine lima tena within two yrs utakuwa na zaid ya mil300 , hapo toa mil100 Jenga, then keep on investing...,

haahahah ndoto za mchana hizi jaman !laiti ingekuw hivyo wakulima wangekuwa mabilionea!usidhan ni rahis namna hyo mkuu
 
mimi nadeal na uuzaji wa magari nakushauri nunua gari popote heshima lazima
 
Hakuna baba mwenye gar kuna baba mwenye nyumba ova
Ujinga wa nyuma ni kuwa itasubiri uletwe kuagwa ukafukiwe, Gari ina uwezo wa kuagana na wewe ukapelekwa mortuary na yenyewe scraped, fanya magazijuto fasta.
 
Amani iwe nanyi wapendwa,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni mfanya biashara mwenye chini ya miaka 25 kwa sasa biashara zangu zinaenda tu fresh ukizangatia na saizi wafanyabiashara tumekuwa wachache sana sio kama zamani.

Sasa basi kuna milioni kumi na tano yangu iko bank nimeiweka yaani kila baada ya mda flani huwa naogeza milioni moja au laki kadhaa bank lakini inategemea na biashara itakavyosimama kwa mwezi au kwa week.

Nina viwanja viwili kwa sasa sina nyumba wala gari nimepanga na mishe mishe zangu huwa napiga kwa kupanda gari.

Sasa basi naomba ushauri wenu wadau, je nijenge nyumba au ninunue gari ili nirahisishe mishe mishe yangu kwa town.

Naombeni ushauri naogopa kunuua gari wakati nimepanga nahisi ndugu wataniona lofa lakin mimi mwenyewe ni sharo kinoma kamoyo kangu kanataka gari.

Nawasilisha

LONDON BABY
Nakushauri ndugu yangu tafuta gari used aidha vits,starlet,ist,Carina ambazo hazitumii mafuta sana na utapata kwa bei nzuri kama m5 mpaka m8,itakayobaki anza ujenzi hata wa vyumba viwili kwanza ili usave mambo ya kodi na pia una kwako hata kama chumba kimoja lakini ni kwako!!ahsante
 
Back
Top Bottom