Hebu tuonyeshe kwenye masterplan ya ulipo ni planned kufanyia niniViwanja vyangu viko sehemu nzur sana hakuna wa kubomoa
Hebu tuonyeshe kwenye masterplan ya ulipo ni planned kufanyia niniViwanja vyangu viko sehemu nzur sana hakuna wa kubomoa
Yaan mkuu nachanganyikiwa sana aisee sijui nijenge sijui nivute kitu verossaBoss jipime tu wewe mwenyewe then amua kipi mhim, maana gari ni mhim sana kama itatumika kukurahisishia biashara, ila kama biashara inaenda vizuri bila gari bas anza kujenga nyumba ila pia nyumba hutafikia mbali ila itategemea ni nyumba ya ukubwa gan unaitaka.
Hawa vijana wa chuo kila story wanayo wao, mara utasikia TRA wamenifirisi mara utasikia sehemu gani nzuri ya kupaki gari nataka nende Ulaya, mara utasikia wapi nitapata bati za kuezekea mara naweza kwenda jela na dawa ya mbu, mara trafiki kanikamata kwa kutumia torch ya nyumbani.Kesho mtoa post ataandika amemaliza chuo anatafuta kazi!vijana wa humu Jf aisee!
Kwamba unaomba ushauri au umetaka tujue unazo oa bas maana unamajibu unakuja kujisemelezesha hukuMkuu nataka ninunue verossa nilipata ya 12 milion
Hahahahaaaa ww jamaa ni Genius. Nimecheka balaaHawa vijana wa chuo kila story wanayo wao, mara utasikia TRA wamenifirisi mara utasikia sehemu gani nzuri ya kupaki gari nataka nende Ulaya, mara utasikia wapi nitapata bati za kuezekea mara naweza kwenda jela na dawa ya mbu, mara trafiki kanikamata kwa kutumia torch ya nyumbani.
Weka hilo dili utafanyia vp hizo pesa. Sema tupige mchongo hela iponaomba iyo hela nitarudisha after 2month
Huyo jamaa alikuwa rafiki yangu sana lakin toka siku nimpige marufuku kukushobokea naona kama ana kinyongo nami
Mkuu mi nadhani ungeomba msaada wa aina ya gari kulingana na kipato chako cz ushapanga kununua gari ila hapa unataka kama watu wanne tu wakusapoti .....mi naanza na IST ziko poa sanaMkuu nataka ninunue verossa nilipata ya 12 milion
Wana fujo kama nini?Hahahahaaaa ww jamaa ni Genius. Nimecheka balaa
Siyo lazima maisha kuyaendesha with the same as they did during the age if adam n eve!! Sometime just go anticlockwise and things will sound better.As of me so far, let him start with anything he desires whether a house or a town baby walker from JapanKweli unahitaji msaada wa kimawazo. Utanunuaje gari huna mahali pa kuipaki?? Mwenye nyumba ukamwombe ujenge gereji ya kulaza gari au ukailaze ofisi ya ccm mtaa wa 4 kutoka nyumbani!! Yataka moyo.
Ushauri;
Jenga nyumba kwanza, weka frem nzuri mbili au tatu. Wapo watakao pangisha ka unavyo pangisha na nyingine tumia wewe. Mola akijalia, weka na sehemu ya gereji kwenye jengo lako. Utakuja ingiza gari siku moja kwako sio kwa mtu.