nanawoo
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 1,312
- 1,278
usijaribu verosa gar za kitajir we tafura ist au tiMkuu nataka ninunue verossa nilipata ya 12 milion
usijaribu verosa gar za kitajir we tafura ist au tiMkuu nataka ninunue verossa nilipata ya 12 milion
Maelezo yako yanaonyesha huwezi kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikioSina akili ya biashara? Why
Mkuu umeandika kikristo huwa hakipandi kabisaIf you are serious need our advise, just take three quarter of your money and go for second hand cars from japan such as toyota premio second generation, toyota run x or allex or any vehicle with the similar appearance and features, the remain amount keep on saving hoping that you will start construction in the coming year. but if you want show off as you seems to be, go for the vehicle that u have mentioned earlier because those vehicle are consuming more fuel that will affect your saving capacity. thanks
Bora ununue gari siku ukienda tu kulilipia yard njiani lipate ajari upoteze pesa...na gari liharibike ushinde kulitengeneza...
Kweli mkuu hata mimi nahis hii hela niliyo nayo haita tosha
hivi nyimbo yako na managemnt yako ya hamisa mobeto washa kusimamiaAman iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mimi ni mfanya biashara mwenye chin ya miaka 25 kwa sasa biashara zangu zinaenda tu fresh ukizangatia na saiz wafanya biashara tumekuwa wachache sana sio kama zaman
Sasa bas kuna milion kumi na tano yangu iko bank nimeiweka yaan kila baada ya mda flan huwa naogeza milion moja au laki kadhaa bank lakin inategemea na biashara itakavyosimama kwa mwez au kwa week
Nina viwanja viwili kwa sasa sina nyumba wala gar nimepanga na mishe mishe zangu huwa napiga kwa kupanda gar
Sasa bas naomba ushaur wenu wadau je nijenge nyumba au ninunue gar ili nirahisishe mishe mishe yangu kwa town
Naomben ushaur naogopa kunuua gar wakat nimepanga nahis ndugu wataniona rofa lakin mimi mwenyewe ni sharo kinoma kamoyo kangu kanataka gar
Nawasilisha
LONDON BABY
Asante sana mkuununua gar iliyo nafuu ikurahisishie kaz zako na inayobak anza kujenga mdogo mdogo nanunasema kua kila baada ya mda hua unaongeza hizo hizo zitamaliza nyumba na mbaadh ya material madogo utabebea katika gar lako na kwendea site kwako kukagua ujen z utakua ni rahis
Asante sana nilitaka nivute kitu BMW kama ile ya kwakoNunua gari isiozidi 7m inayobaki anza kujenga. Kama ulivyosema biashara inaenda vizuri kila mwisho wa mwezi tenga kiasi fulani nenda site kaendeleze.
Ukifuata ushauri huu mwisho wa siku utakuwa na gari,nyumba na biashara inaendelea.