Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

Jana ilikuwa tarehe 1 december ni siku ya UKIMWI duniani.Dunia ya leo ukiona mtu anajiona kijogoo kagonga hapa na pale anataka apate ujiko ni wa kumuombea kama ni ndugu yako funga kwa maombi mungu amrudishe kwenye mstari shetani amuachie shati alilomng'ang'ania

th
 
Inategemea upo mkoa gani na unafanya kazi gani. Kama ni Dar bora ununue gari kwanza ila dogo tu sio la starehe, kujenga dar ni gharama asikwambie mtu
 
Amani iwe nanyi wapendwa,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni mfanya biashara mwenye chini ya miaka 25 kwa sasa biashara zangu zinaenda tu fresh ukizangatia na saizi wafanyabiashara tumekuwa wachache sana sio kama zamani.

Sasa basi kuna milioni kumi na tano yangu iko bank nimeiweka yaani kila baada ya mda flani huwa naogeza milioni moja au laki kadhaa bank lakini inategemea na biashara itakavyosimama kwa mwezi au kwa week.

Nina viwanja viwili kwa sasa sina nyumba wala gari nimepanga na mishe mishe zangu huwa napiga kwa kupanda gari.

Sasa basi naomba ushauri wenu wadau, je nijenge nyumba au ninunue gari ili nirahisishe mishe mishe yangu kwa town.

Naombeni ushauri naogopa kunuua gari wakati nimepanga nahisi ndugu wataniona lofa lakin mimi mwenyewe ni sharo kinoma kamoyo kangu kanataka gari.

Nawasilisha

LONDON BABY
Dah....[emoji13] [emoji87] [emoji41]
Mke wangu ana taka nimsujudu kila akitoka kazin anataka niwe nampokea mkoba, ndoa yangu iko matatani
 
Jenga mkuu sijawah sikia baba mwenye gari ila ni baba mwenyenyumba
 
fanya vyote....

jenga chumba na sebule self kwa milion 6 tu, hio mil 9 vuta kausafili.

take it from me, wengi humu watakuzingua achana nao
 
kujenga ni uoga wa maisha,nunua gari ili ikipigwa mzinga upate akili.
 
Mawazo ya kimaskini na kiuoga sijapata ona, gari ni nyenzo muhimu itakayo kusaidiia kujenga

Kweli kaka hayo yangu ndo mawazo mgando ila haya yako ni kiboko yanazidi hata mgando. Yaani RAV4 itakusaidia ujenzi?? Muulize ni aina gani ya gari anataka ndipo utoe comment zako
 
Kweli kaka hayo yangu ndo mawazo mgando ila haya yako ni kiboko yanazidi hata mgando. Yaani RAV4 itakusaidia ujenzi?? Muulize ni aina gani ya gari anataka ndipo utoe comment zako
Naona kwako msaada wa gari ni kubeba cement tu, kukagua site ni muhimu sana, pia hiyo gari ndio itamuwahisha kwenye dili za pesa na kujenga haraka, au ulitaka gari itoe msaada gani?
 
Amani iwe nanyi wapendwa,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni mfanya biashara mwenye chini ya miaka 25 kwa sasa biashara zangu zinaenda tu fresh ukizangatia na saizi wafanyabiashara tumekuwa wachache sana sio kama zamani.

Sasa basi kuna milioni kumi na tano yangu iko bank nimeiweka yaani kila baada ya mda flani huwa naogeza milioni moja au laki kadhaa bank lakini inategemea na biashara itakavyosimama kwa mwezi au kwa week.

Nina viwanja viwili kwa sasa sina nyumba wala gari nimepanga na mishe mishe zangu huwa napiga kwa kupanda gari.

Sasa basi naomba ushauri wenu wadau, je nijenge nyumba au ninunue gari ili nirahisishe mishe mishe yangu kwa town.

Naombeni ushauri naogopa kunuua gari wakati nimepanga nahisi ndugu wataniona lofa lakin mimi mwenyewe ni sharo kinoma kamoyo kangu kanataka gari.

Nawasilisha

LONDON BABY
Kwani si umesimamishwa kazi mkuu sasa pesa umepata wapi ghafla za kununulia gari
Vipi mkeo ashaacha kukudharau?
 
Bar wanaangalia mwenye funguo za gari. Sio mwenye nyumba. Nunua gari vyangudoa wakuzoee. Nyumba kitu gani. Ulishaona mtu anapeleka mwanamke kwa nyumba yake ? Je gari lifti.....
 
Hizo pesa mbona zinatosha sana kama gari nunua hata used ist,passo au rava4 ambazo azitumii mafuta hapa town kwa millions 7 au nane unapata tu nzuri ya kuzugia na iliyobaki nunua tofali ,mchanga na pesa ya Fundi kama kianzio cha kujenga msingi mpaka kozi ya juu haiwezi kuzidi million sita. KISHA UJIPANGE TARATIBU KUTAFUTA PESA KUMALIZIA FINISHING
YA NYUMBA

NB.
KUJENGA SIO LELEMAMA NDUGU NA HIZO 15ML KUJENGA NA UKAMALIZA NYUMBA NI NDOGO SANA
 
Back
Top Bottom