naamini haitaliwa lazima nishindeUnataka ucheze biko?
ukiliwa yote?
naamini haitaliwa lazima nishindeUnataka ucheze biko?
ukiliwa yote?
winePole sana mke wangu
Nikuletee nini kipenz
haswaaaaaaaaaaaHahaaaa unataka ujimwaye mwaye siyo
Mkuu nataka machine kubwa verossa au Mark x
Hiyo hela haitoshi nyumba tafuta hela kwanza nyumba zipo tuViwanja vyangu viko sehemu nzur sana hakuna wa kubomoa
Hivi ushajiuliza hiyo pesa inatosha nyumba ya ainagani?Yaan mkuu nachanganyikiwa sana aisee sijui nijenge sijui nivute kitu verossa
Nyumba demu itamsaidia nini. Si anaona bora gari atapata liftHahaa kwahiyo kama huna gar huwez pendwa mkuu
Nunua gari isiozidi 7m inayobaki anza kujenga. Kama ulivyosema biashara inaenda vizuri kila mwisho wa mwezi tenga kiasi fulani nenda site kaendeleze.Aman iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mimi ni mfanya biashara mwenye chin ya miaka 25 kwa sasa biashara zangu zinaenda tu fresh ukizangatia na saiz wafanya biashara tumekuwa wachache sana sio kama zaman
Sasa bas kuna milion kumi na tano yangu iko bank nimeiweka yaan kila baada ya mda flan huwa naogeza milion moja au laki kadhaa bank lakin inategemea na biashara itakavyosimama kwa mwez au kwa week
Nina viwanja viwili kwa sasa sina nyumba wala gar nimepanga na mishe mishe zangu huwa napiga kwa kupanda gar
Sasa bas naomba ushaur wenu wadau je nijenge nyumba au ninunue gar ili nirahisishe mishe mishe yangu kwa town
Naomben ushaur naogopa kunuua gar wakat nimepanga nahis ndugu wataniona rofa lakin mimi mwenyewe ni sharo kinoma kamoyo kangu kanataka gar
Nawasilisha
LONDON BABY
cjawah hata kucheza naisikia tu ndo natak nianze kupitia iyo hela yakoUshagawahi kushinda sh ngap mkuu
Tuanzie hapo kwanza