Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

Hawa vijana wa chuo kila story wanayo wao, mara utasikia TRA wamenifirisi mara utasikia sehemu gani nzuri ya kupaki gari nataka nende Ulaya, mara utasikia wapi nitapata bati za kuezekea mara naweza kwenda jela na dawa ya mbu, mara trafiki kanikamata kwa kutumia torch ya nyumbani.
Ahahaaa noma sana mzazi
 
Na ujanja wote huo kumbe hujawahi kumiliki gari?
Any way, nunua gari ya bei nafuu. Mvua mtu Vitz kali kwa m6, nyingie peleka site. Haina haja na kuanza na gari ya gharama sana...
 
Kama gari unataka ya kukusaidia kwenye mishe nununwa. Ila kama ni starehe tu hiyo hela kama ufunguw biashara zingine.
 
Mkuu mi nadhani ungeomba msaada wa aina ya gari kulingana na kipato chako cz ushapanga kununua gari ila hapa unataka kama watu wanne tu wakusapoti .....mi naanza na IST ziko poa sana
Mkuu nataka machine kubwa verossa au Mark x
 
nunuaa gar mkuu tena nunua noah kabsaa achana na kujenga utafilisi biashra zako nahautamalza hlo pagala la nyumba.....utataman kuhamia haitawezekn ,utatama kuuza roho itakuuma ,utaikumbuka hyo hela kama utajenga!! Gar n kama simu skuiz ina simplfy sana shughul za hapa na pale 0
Asante sana mkuu
 
Na ujanja wote huo kumbe hujawahi kumiliki gari?
Any way, nunua gari ya bei nafuu. Mvua mtu Vitz kali kwa m6, nyingie peleka site. Haina haja na kuanza na gari ya gharama sana...
Hahaaa sijawah milik gar mkuu

Sitaki cha bei ndogo kama hivyo vivitiz huwa sivipend kabisa mkuu

Nataka kujiripua na kitu verosa au Mark x
 
Back
Top Bottom