Ikileta hyo error, nenda kwenye web yao login na fanya update ya TG no. yako, that should solve it!, worked for me
ahaaa, sikua nikilijua hilo, natumia za canada and zinadunda tu...
- Hii error imekuwa ikijitokeza kwa siku mbili kwa baadhi ya server, Licha ya kuwa TG Number sahihi imekuwa updated katika account husika.
- Na ufumbuzi wake ilikuwa ni kutumia server nyengine tofauti, kwa sasa tatizo la hiyo server imekuwa solved.
na si kila mtu ananunua kwa reseller mkuu!sijui lini tutajifunza. kila mtu kila siku anafungua thread mpya kuhusu hayo mambo. wakati ni jambo la kuwasiliana na reseller wako na ni kajitatizo kadogo tu.
mara huyu kaweka screenshot ya speed mara yule kaweka screenshot ya error.....
kama muliachiwa miezi mingi endeleeni hivyo hivyo
yet resellers ndo troubleshooters wa hizi mambo hope point yake iko sahihina si kila mtu ananunua kwa reseller mkuu!
yet resellers ndo troubleshooters wa hizi mambo hope point yake iko sahihi
una mpm njunwa au mwl au paje anakusaidiq maaana hako ndo kaaujaanja kamebaki kaakilimwa tunarejeaa bundle
point taken kaka,yet resellers ndo troubleshooters wa hizi mambo hope point yake iko sahihi
una mpm njunwa au mwl au paje anakusaidiq maaana hako ndo kaaujaanja kamebaki kaakilimwa tunarejeaa bundle
point taken kaka,
hapo umenena kaka, fanya mchakato huo aisee itakua mpango sanapamoko au tuanzishe ka thread kule JF store kule mtu kidogo panakuwa secure zaidi haa kutaja mambo ya usiri
Mtu yeyote anaweza kuanzisha kule JF store heading "TroubleShoot your TunnelGuru"
Kule tutajadili mambo mengi e.g server ambazo hazifanyi kazi...mtu unafanya tweak gani kuwa na speed nzuri etc
pamoko au tuanzishe ka thread kule JF store kule mtu kidogo panakuwa secure zaidi haa kutaja mambo ya usiri
Mtu yeyote anaweza kuanzisha kule JF store heading "TroubleShoot your TunnelGuru"
Kule tutajadili mambo mengi e.g server ambazo hazifanyi kazi...mtu unafanya tweak gani kuwa na speed nzuri etc
nimeshafungua thread kule!hapo umenena kaka, fanya mchakato huo aisee itakua mpango sana