Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 789
- 2,510
kwanini hutaki kusema ni dalili gani? .Zimepita kama wiki mbili au tatu tangia nifanye naye mapenzi mkuu. Ila dalili nimeziona ndani ya siku mbili za hivi karibuni!
kwanini hutaki kusema ni dalili gani? .Zimepita kama wiki mbili au tatu tangia nifanye naye mapenzi mkuu. Ila dalili nimeziona ndani ya siku mbili za hivi karibuni!
Baada ya kukaa singo kwa miezi 9 bila kukutana na mwanamke yeyote hatimae wiki 3 zilizopita nikapata mwanamke, ilikuwa siku ya wikend Ijumaa usiku akaja geto, nimekesha napeleka moto kavu kavu, namwaga goli naanzisha lingine.
Tumejifungia ndani mpaka Jumapili jioni ndiyo akaondoka.
Nyege zote za miezi 9 nashukuru ziliisha, nimemwaga uzito wote.
Sasa siku mbili hizi Kuna dalili nimeziona kwenye mwili wangu na nimeangalia ni dalili za kaswende 100% kabisa.
Sasa naombeni madaktari au wenye uzoefu na hili Gonjwa la Zinaa gharama ya kulitibu ikoje 🤔
Tubu na umpokee YESUBaada ya kukaa singo kwa miezi 9 bila kukutana na mwanamke yeyote hatimae wiki 3 zilizopita nikapata mwanamke, ilikuwa siku ya wikend Ijumaa usiku akaja geto, nimekesha napeleka moto kavu kavu, namwaga goli naanzisha lingine.
Tumejifungia ndani mpaka Jumapili jioni ndiyo akaondoka.
Nyege zote za miezi 9 nashukuru ziliisha, nimemwaga uzito wote.
Sasa siku mbili hizi Kuna dalili nimeziona kwenye mwili wangu na nimeangalia ni dalili za kaswende 100% kabisa.
Sasa naombeni madaktari au wenye uzoefu na hili Gonjwa la Zinaa gharama ya kulitibu ikoje
Dalili nilizoona ni hizi, kwanza mwili ulianza kuwasha na vipele Kwa mbaaaaaali.kwanini hutaki kusema ni dalili gani? .
Pole mkuu.Dalili nilizoona ni hizi, kwanza mwili ulianza kuwasha na vipele Kwa mbaaaaaali.
Baadae vipele kama viwili hivi kwenyemboo, maeneo ya kichwa chamboo.
Vipele hivyo au vidonda hivyo kwenye mboo haviumi.
Kumbe na wewe umeliona Hilo!! Maana jamaa yeye ni mwendo wa reaction tu za kuLIKE anaweza kuLIKE Nyuzi zote za JF na Comment zake zote Hadi Mimi nikajua ni Roboti linahisika na hivyo tu😀😀ndo leo naiona coment yake
Mkuu hizo sindano si ndo zile zinaleta maumivu zaidi hata ya gono jenyewe?? Maana Kuna sindano niliandikiwa zilikuwa zinauma balaa unatembea kama Roboti na mtu akikuangalia vibaya anaweza kujua umebakwa au umeleft groupHilo ni gono siyo kaswende,
Kaswende huwez ukapata dalili ndani ya siku mbili.
Choma sindano ya ciprofloxacin 1g 5/7
Utanishkru