Msaada wa GTA Vice City na GTA 5

Msaada wa GTA Vice City na GTA 5

Nina pc yangu hp presario CQ56 ina processor ya pentium dual core T4500 WIth 2.30gh na ram ya 4gb je ninaweza install gta V?
 
Mkuu kwa haka ka pc kangu nafaa nikatumie kwa matumizi yepi haswa? Na wapi sipaswi kukatumia ili kukafanya kaixh mda mrefu?
Usipoitumia haimaanishi itaishi muda mrefu kuliko ukiitumia. Dual core ni matumizi ya kawaida tu kuangalia movies, games nyepesi, kusoma etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom