Msaada wa GTA Vice City na GTA 5

Msaada wa GTA Vice City na GTA 5

Kwann usinunue playstation three tu bei sawa na pc ukaenjoy maisha hakuna kulag wala kuwaza graphics card mna vicomputer vya kutumia stationary afu bado mnataka magemu bas nunueni hata gaming pc baas gamers wa bongo hamuwekez kwny games sijui hata mnaenjoy nn wakuu by the way kama ww ni gamer afu hela yako unaona bora uonge malaya kuliko kuwekeza kwnye gaming facilities najua utakuwa umepanic
Ps3 inacheza games nyingi kwa 480p, pc ya jamaa bila tatizo inaipita ps3, na kwa 480p inacheza games vizuri tu.
 
My point is if you are real serious gamer unahitaji gaming pc au console with no doubt gtaV ni game ya mwaka 2013 game za kisasa kama shadow of tomb raider,nba2k 20,ghost recon breakthrough sidhan kama unaweza ukacheza kwa system requirement ya mshikaji
 
Kwann usinunue playstation three tu bei sawa na pc ukaenjoy maisha hakuna kulag wala kuwaza graphics card mna vicomputer vya kutumia stationary afu bado mnataka magemu bas nunueni hata gaming pc baas gamers wa bongo hamuwekez kwny games sijui hata mnaenjoy nn wakuu by the way kama ww ni gamer afu hela yako unaona bora uonge malaya kuliko kuwekeza kwnye gaming facilities najua utakuwa umepanic
Kwa anayeifahamu pc vyema hawezi kutaka kucheza game kwenye console. Tuishie hapa.
 
Mshikaji pc iko vyema sana hapo anakwama kwenye gpu tu. Ambayo kama ingekuwa ni desktop anatafuta gpu hata ya 200k anarun karibu game zote bila kulimitiwa limitiwa.
 
Kwann usinunue playstation three tu bei sawa na pc ukaenjoy maisha hakuna kulag wala kuwaza graphics card mna vicomputer vya kutumia stationary afu bado mnataka magemu bas nunueni hata gaming pc baas gamers wa bongo hamuwekez kwny games sijui hata mnaenjoy nn wakuu by the way kama ww ni gamer afu hela yako unaona bora uonge malaya kuliko kuwekeza kwnye gaming facilities najua utakuwa umepanic
Ps3 ulimwengu huu ambao hata publisher wanaacha kutengeneza game za ps3?😀😀

Kama fifa20 na pes 2019 hazijatoka kwenye ps3. Na mwaka huu inakuja ps5 pia ps3 ndio itaenda kuwa takataka kabisa.
 
Kwann usinunue playstation three tu bei sawa na pc ukaenjoy maisha hakuna kulag wala kuwaza graphics card mna vicomputer vya kutumia stationary afu bado mnataka magemu bas nunueni hata gaming pc baas gamers wa bongo hamuwekez kwny games sijui hata mnaenjoy nn wakuu by the way kama ww ni gamer afu hela yako unaona bora uonge malaya kuliko kuwekeza kwnye gaming facilities najua utakuwa umepanic
Ps3 hapana mkuu.......imepitwa na wakati
Bora kujitutumua ukachakua pc utafanyia na mambo mengine
 
Gamers wa bongo bhana yaan wanapenda mtelemko kishenz [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu pirate hazijaanzia Bongo ni dunia nzima
Huku kwetu dunia ya tatu ambapo njia zenyewe za malipo ni complicated kwanini nihangaike wakati naweza kuipata bureeeee
Game
Movies
Apps
Software
Watu wanashusha tu free ni bando lako tu
We usiopenda mteremko nunua tu mkuu unawasaidia na developer kuendelea
 
Kwann usinunue playstation three tu bei sawa na pc ukaenjoy maisha hakuna kulag wala kuwaza graphics card mna vicomputer vya kutumia stationary afu bado mnataka magemu bas nunueni hata gaming pc baas gamers wa bongo hamuwekez kwny games sijui hata mnaenjoy nn wakuu by the way kama ww ni gamer afu hela yako unaona bora uonge malaya kuliko kuwekeza kwnye gaming facilities najua utakuwa umepanic
Usionyeshe ujinga wako hapa ww punda....ps3 kitu gani sasa hv kwenye ulimwengu wa gamers...hiyo PC ya mleta uzi ina nguvu kuliko hako kaPS3 chako kinachocheza low setting....unatambua Kama gpu ya amd iliyotoka 2013 ina perform vizuri kuliko ps4...PC zina nguvu kuliko consoles kama haujui.. hvyo acha kuonyashe ujinga wako hapa na kutukana watu...alafu acha maringo na nyodo za kike we mtoto wa kiume...
 
Kwa anayeifahamu pc vyema hawezi kutaka kucheza game kwenye console. Tuishie hapa.

Nakubari kabisa mm natumia vyote hvyo nna pc na nna xbox one S,,, point yangu kwa muanzisha mada na kwann nimesema anapenda mteremko ni kutokan na kwamba hataki game kubwa kudownload yy mwnyew kisa bando(mb) au mpaka aombe kwa mtu ila kiukweli pc n nzur kwa gaming lakni ni kweli jamaa ambaye hata kudownload game la 87gb hataki ataweza kuwekeza kwny graphics card,gpu,ram ili kuupgrade PC yake kiukweli gamers wa bongo wengi wanajifikiria sana kwny kuwekeza kwny gaming PC coz hz gharama hawatak ndo maaana huyo dogo nikamshauri walau achukue PS3 kwa minajili yake ya kucheza hyo GTA V kwa budget yake na the way anavyopenda vitonga[emoji23][emoji23]. Asiyenielewa areply hii text
 
Ps3 hapana mkuu.......imepitwa na wakati
Bora kujitutumua ukachakua pc utafanyia na mambo mengine

Mkuu huyu jamaa kudownload game la gb 89 anakwambia hawez unadhan anaweza kujitutumua kuupgrade PC yake ili ndo nilikuwa namaanisha kipindi nasema gamers wa bongo wanapenda mteremko kichizi at least atafute ps3 baas game hzo ni bure tu na gb ndogo sio kama ya PC
 
Aaaanhhh?!!! Basi ngoja ni install vice city kaka itanitosha kucheza cheza mara moja mojaa

Download GTA san andreas kidogo utaenjoy. Ni gb 2 tu full package. Au tafuta. GTA 4 nayo itacheza bila shida. Nayo ni gb 4 tu. Jiunge bando la airtel la usiku wanatoa GB 10 kwa Tsh 1500. Kama una shida sana na gta 5 nenda kwenye website ya Kupatana kuna machalii wanauza kwa Tsh 5000 hadi 10000.
 
Asante sanaa mkuu kwa mawazo yakoo
Download GTA san andreas kidogo utaenjoy. Ni gb 2 tu full package. Au tafuta. GTA 4 nayo itacheza bila shida. Nayo ni gb 4 tu. Jiunge bando la airtel la usiku wanatoa GB 10 kwa Tsh 1500. Kama una shida sana na gta 5 nenda kwenye website ya Kupatana kuna machalii wanauza kwa Tsh 5000 hadi 10000.
 
Daah!! Ngoja niseme inshort nilitaka kujua kwanza kama ina weza kucheza au raha maana nisije jaribu kudownload harafu ika kwangu kuhusu GB mbona halotel kwa 1500 unapewa unlimit bando yaan kuanzia saa 6 mpaka saa 12 huko my point hapa nilitaka kujua kama ita play maana mm na haya mambo nipo nyumaa sanaa yaan ndio naanza kutumia pc
Nakubari kabisa mm natumia vyote hvyo nna pc na nna xbox one S,,, point yangu kwa muanzisha mada na kwann nimesema anapenda mteremko ni kutokan na kwamba hataki game kubwa kudownload yy mwnyew kisa bando(mb) au mpaka aombe kwa mtu ila kiukweli pc n nzur kwa gaming lakni ni kweli jamaa ambaye hata kudownload game la 87gb hataki ataweza kuwekeza kwny graphics card,gpu,ram ili kuupgrade PC yake kiukweli gamers wa bongo wengi wanajifikiria sana kwny kuwekeza kwny gaming PC coz hz gharama hawatak ndo maaana huyo dogo nikamshauri walau achukue PS3 kwa minajili yake ya kucheza hyo GTA V kwa budget yake na the way anavyopenda vitonga[emoji23][emoji23]. Asiyenielewa areply hii text
 
Hizo ni dharau kubwa ulizotaja, yaani unafananisha console iliyopitwa na wakati na pc games zilizopo kwenye chat

Hahaaha mzee uelewe nn namaanisha mwangu mm sio mpenzi sana wa sony ila namuhasa jamaa soma vzur text zangu kaamua kuwa gamer gaming ni gharama ajifunze kuwekeza huko
 
Vice city ya kitambo sana aisee hata graphics zake hovyo sana

Angalau GTA San Andreas ingawa nayo ya kitambo na graphics hovyo lakini ina unafuu
San Andreas ni ya toka Late 2004
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom