mkuu game linaloongoza kwa mauzo duniani linaitwa Minecraft, limeuza unit zaidi ya milioni 200, nenda playstore, app store, steam etc utalikuta linaongoza mauzo. mfano pubg na umaarufu wake limeuza milioni 60 tu na gta V ambalo ni la pili ni milioni 130 tu. hivyo unaona gape lilivyo kubwa.
lipoje hili minecraft? lipo kama hivi
graphics mbovu, lipo pixelated even vice city lipo vizuri kwa quality ya graphics kuliko minecraft
watu wengi hasa nchi zetu hizi zinazoendelea tunaangalia tu graphics, huku hakuna utofauti na mtu anayeshangaa maghorofa ama magari, game linatakiwa likufurAHISHE, likupe challenge na kukusumbua akili, likupe matokeo mazuri etc kama mtu analipenda vice city so what? muache acheze furaha yake ndio ipo hapo.