Msaada wa GTA Vice City na GTA 5

Vice city sawa ila kuhusu gta5 embu taja kwanza uwezo wa pc yako.
Sifa hzi hapa mkuu
Screenshot_20200606-192125.jpeg
Screenshot_20200606-192112.jpeg
Screenshot_20200606-192056.jpeg
 
Adante mkuu ngoja nianze tu na vice city harafu mengne haya nita songaga nikipataga watu wa kunirushia
Gta 5 gb 50+ repack yake gb kama 30

Vice city haifiki gb moja ina kama mb 500 hivi.

Ingia hiyo web hapo then search utaziona maelezo yake kila kitu na requirements.
 
Adante mkuu ngoja nianze tu na vice city harafu mengne haya nita songaga nikipataga watu wa kunirushia
Vice city ya kitambo sana aisee hata graphics zake hovyo sana

Angalau GTA San Andreas ingawa nayo ya kitambo na graphics hovyo lakini ina unafuu
 
Vice city ya kitambo sana aisee hata graphics zake hovyo sana

Angalau GTA San Andreas ingawa nayo ya kitambo na graphics hovyo lakini ina unafuu
Naomba unipe basi game kali kwasasa ndugu yangu maana ss tumeshikilia GTA tu
 
Naomba unipe basi game kali kwasasa ndugu yangu maana ss tumeshikilia GTA tu
Mkuu GTA ni series ya game, zipo za zamani na za sasa kali balaa
Hapo ni uwezo wa Pc yako

Kama Pc yako ina ubavu na mpenzi wa GtA weka hiyo GTA 5
Kama uwezo mdogo cheza na GTA za nyuma yake

Siku hizi kuna game kali sana tatizo letu wengi ni uwezo wa pc zetu
 
Hongera, Naona ww huwa unalipia tu ma usd unashusha mizigo.

Kwann usinunue playstation three tu bei sawa na pc ukaenjoy maisha hakuna kulag wala kuwaza graphics card mna vicomputer vya kutumia stationary afu bado mnataka magemu bas nunueni hata gaming pc baas gamers wa bongo hamuwekez kwny games sijui hata mnaenjoy nn wakuu by the way kama ww ni gamer afu hela yako unaona bora uonge malaya kuliko kuwekeza kwnye gaming facilities najua utakuwa umepanic
 
Back
Top Bottom