UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,555
- 1,389
- Thread starter
- #21
mwalim nani uyo anaewafundsha medical AT au?Kajrib zali lako mdh mikochen kwa mwalim unawez pata maan hr wao pisikali alafu han hiyana
mwalim nani uyo anaewafundsha medical AT au?Kajrib zali lako mdh mikochen kwa mwalim unawez pata maan hr wao pisikali alafu han hiyana
Yupo jack, haruna. Muronda kaend kuchkua phd ujermanmwalim nani uyo anaewafundsha medical AT au?
sisi ntulifundshwa na madam ANGEL DILIP muhindi hivi tulipofika mwaka wa3 akaacha kbs kufundsha akaendelea na mishe zake nyngneYupo jack, haruna. Muronda kaend kuchkua phd ujerman
ustawi wa jamiiHuy mtu had Leo hajwah kuingia class.sijui atkuj lin.
Field ulifnyia wap mkuu
Uliopt au ulipangiwaustawi wa jamii
ukiwa COSS kila kitu kupambana km unaomba Ajira vile ila wengine wanapangiwa km wale wa BAED, Archeology na Heritage managementUliopt au ulipangiwa
Lol!! Hapo umemnfunguaaaaa. Ngoj nkapambane taasisi moja matata sanaaaa mikocheni nkimaliza waone na kaumuhim kidogoooukiwa COSS kila kitu kupambana km unaomba Ajira vile ila wengine wanapangiwa km wale wa BAED, Archeology na Heritage management
MDH au?Lol!! Hapo umemnfunguaaaaa. Ngoj nkapambane taasisi moja matata sanaaaa mikocheni nkimaliza waone na kaumuhim kidogooo
YahMDH au?
position gn uliapplyNiliwah fanya interview moja hapo mdh wako vizuriii
Store attendant walitak chet cha six Tu.. Sem nlibugi kweny interview mzee nlikoroga mambo mpaka leoo nikifkiria nachekaaposition gn uliapply
yaani kwa kozi kama hii nchi kama hii sijui hata kama magufuli anaitambua ila ni discipline nzuri tatizo lipo kwenye uelewa wa waajiriSwali hili ndo linasababisha medical anthropologist ngum kupata kaz. Watu wengi hawana uelew wa hii discipline. Hivyo vitu vinaenda sambamb yani ndio hiyo inautwa 'public health'
Ni kwa vipi social-cultural life inaathiri afya ya mtu!!? Na huyu mtu anaelew nini kuhus ugonjwa anaoumwa!!?
Dokta anajua dalili na kupima na kumpa daw mgonjwa Tu, mgonjwa anawez kuwa na mtazamo tofaut ingaw yupo zahanati kapimwa. Discipline hii hutumika kujua sabb z magonjw y mlipuko kukaa mda mref baadhi y maeneo na mda mfup maeneo mengine!. Shortly hat ugonjwa mpya kutafitiw chanzo,sabb na dalili zake wanafanya hiyo kaz hao watu
kabisa mkuuyaani kwa kozi kama hii nchi kama hii sijui hata kama magufuli anaitambua ila ni discipline nzuri tatizo lipo kwenye uelewa wa waajiri