UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,555
- 1,389
WAKUU HABARI ZENU
Kutokana na tatizo la Ajira ofisi nyingi wanataka watu wenye experince angalau ya mwaka mmoja na mimi sina huzoefu wowote. Kwaiyo nawaomba member wote wa field ya SOCIAL SCIENCES mnisaidie kupata sehem ya kujitolea tu namimi nipate hujuzi angalau kidogo.
Nimesoma BA IN ANTHROPOLOGY naweza kufanya kazi katika mifuko ya hifadhi ya jamii ,taasisi za Research katika jamii na maeneo mengi yanayofanana na ayo.
Najua humu ndani siwez kosa watu wa; NHIF, PSSF, NIMR, MDH, TASAF, UNDP, UNICEF, UNHCR,SAVE THE CHILDREN nk.
Nawaomba connection ya ku-volunteer tu wakuu asanteni sana.