Sawa mkuu una haki ya kusema lolote.
Kwa hiyo wewe mwenye akili umeamuaje? MAANDAMANO NCHI NZIMA KUPINGA MSAADA???
Hata nikikwambia maamuzi yangu hautoyasadik mpk umuone daktari akuchek ndipo utanielewa mkuu.
Si suala la ushabiki km ukiwa mtanzania wa kwel. Hata km wewe upo mbali na tz, natumai una ndugu, jamaa na marafiki waliopo hapa. Uwe na huruma juu yao.
Trust me, muda waja, mtalia na kusaga meno.
Mtatafuta mikutano na ofisi ya vyama vya siasa ili mutubu na kubadil mienendo yenu dhidi ya watanzania bt itakuwa too late.
Hamtokuwa na Kikwete, rizwan na wala mwanaccm yeyote ambaye leo anasuport ujinga mnaoufanya na kuona watanzania ni wehu. Utasimama peke yako
Chris Lukosi, ukiface sura za watanzania tulioteseka mda mrefu kwenye nchi yetu, tukiishi kama wakimbizi, tukiwa maskini ilikhali tunajua utajir wa nchi yetu. Tukitizama wanyama wetu wakisafirishwa, madini na sasa gesi.
Kwa muda huo Tanzania haitokuwa salama kwenu tena.
Freedom is coming bro........soon and very soon we gona sing.
Mwisho wa ubaya ni aibu. Chagua fungu lililo jema kwa mustakabali wa nchi yako, otherwise kuwa muingereza bro