Kizazi kijacho kitatulaumu sana kwa aina ya mikataba tunayoingia.
Mbaya zaidi huwa hatujifunzi kutokana na makosa.
sio ajabu haya kuyasikia toka kwako. Ningeona ajabu sana km ungeandika vitu vya maana.Kwa uzuri gani mlionao mpaka mpewe bure? Mlikua mnalialia kuhusu ajira sasa kazi hizo, labda mtapunguza kukaa vijiweni mnaota jua.hamna heri nyie binadamu.
Yet again it seems you are bitter as usual.Basi tujengee wewe hiyo bandari bila masharti
Nadhani tatizo si kuwepo kwa masharti; tatizo ni aina ya masharti yaliyowekwaBasi tujengee wewe hiyo bandari bila masharti
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa ni lazima tuwe carefull kwenye mikataba na sio tu na wachina bali mikataba yote tunayoingia na nchi yoyote duniani.Before you criticise someone, you should walk a mile in their shoes. That way when you criticise them, you are a mile away from them and you have their shoes. (ushauri wa bure)
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa ni lazima tuwe carefull kwenye mikataba na sio tu na wachina bali mikataba yote tunayoingia na nchi yoyote duniani.
Lakini ukumbuke kitu kimoja kuhusu china
Wanatoa misaada isiyo na riba kwa Tanzania kwa masharti tu ya kupewa kazi ya kutengeneza hiyo bandari
Wanatoa misaada kwa Tanzania bila masharti yoyote ya kisiasa
China amekuwa rafiki wa tanzania toka tupate uhuru na katufanyia mengi. Tusiwe wepesi kusahau vitu kama hivi
Mie nakuomba tu utuambie kama hamtaki misaada ya china mnataka nani aje ajenge hiyo bandari? na masharti yake mnadhani yatakuwa nafuu?
Hakuna mtu atakaekupa mkopo bila masharti hata siku moja , hata kama ukija kwangu kukopa shilingi mia lazima nitakuwekea kigingi, kwa sababu huwezi tuu chukua hela yangu bila faida yoyote hata vatican wakikupa msaada lazima uwe na masharti achilia mbali wale watakaokuambia lazima ubadili mlengo wako wa kisiasa (siasa za kutofungamana na upande wowote)

Basi tujengee wewe hiyo bandari bila masharti

)

Mkuu mikataba ambayo haikupitia bungeni ijadiliwe ionekane kama ina maslahi kwa taifa letu, unategemea nini???? Tumeuzwa mazima mazima tukae tukijua hilo, sijui tutapata faida gani, Bagamoyo kuna reli ya kusafirisha mizigo au ni mtindo wa maroli ya kina Ritz1????
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa ni lazima tuwe carefull kwenye mikataba na sio tu na wachina bali mikataba yote tunayoingia na nchi yoyote duniani.
Lakini ukumbuke kitu kimoja kuhusu china
Wanatoa misaada isiyo na riba kwa Tanzania kwa masharti tu ya kupewa kazi ya kutengeneza hiyo bandari
Wanatoa misaada kwa Tanzania bila masharti yoyote ya kisiasa
China amekuwa rafiki wa tanzania toka tupate uhuru na katufanyia mengi. Tusiwe wepesi kusahau vitu kama hivi
Mie nakuomba tu utuambie kama hamtaki misaada ya china mnataka nani aje ajenge hiyo bandari? na masharti yake mnadhani yatakuwa nafuu?
Hakuna mtu atakaekupa mkopo bila masharti hata siku moja , hata kama ukija kwangu kukopa shilingi mia lazima nitakuwekea kigingi, kwa sababu huwezi tuu chukua hela yangu bila faida yoyote hata vatican wakikupa msaada lazima uwe na masharti achilia mbali wale watakaokuambia lazima ubadili mlengo wako wa kisiasa (siasa za kutofungamana na upande wowote)
Basi tujengee wewe hiyo bandari bila masharti
There is no free lunch in town,watu wanashabikia China kama mazuzu,M.k.w.e.r.e anachojali ni kupendelea kwao tu hata kwa gharama ya damu ya wengine.