Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

Mkuu,

Sina shaka na ujenzi wa bandari ya Mtwara kujenga coz umbali kati ya bwagamoyo na ntwara unazidi kilometa 200. Kinachouma zaidi ni namna hii bandari itakavoathiri uwepo na upanuzi wa bandari ya zamani ya DSM. Kwa kuwa bidhaa nyingi zinazoingia nchini zinatoka china na pengine malighafi nyingi zinazotoka nchini zinasafirishwa kuelekea nchini china, wasiwasi wangu ni namna ambavyo tutaimaliza kiuchumi bandari ya DSM na kuifanya kama ilivyo banadri ya Tanga kwa sasa.

Tunachosahau na pengine kukurupuka kwenye fikra zetu ni usemi wa 'old is Gold' ambao una mantiki kisiasa, kijamii na hata kiuchumi. Bandari ya Tanga kama tunavyoiona hivi leo ni matunda ya azimio la Arusha uliojenga tegemezi kwenye bandari moja tuu na kufanya hata mkonge kuanza kusafirishwa na bandari ya DSM.

Kwa wakati huu ambao tunazungumzia ujenzi wa reli ya africa mashariki kuanzia Tanga hadi Uganda tunashindwa kuiendeleza zaidi ili iweze kuchangia kwenye uchumi wa ushindani, tunakimbilia kuiuza nchi. Hivi watanzania tuna nini na hawa wanasiasa wetu? Hatuoni mawazo yao yanakotupeleka? Mbona wasiseme nayo reli ianzie bagamoyo kama kweli mind zao ziko coordinated.

Nafikiri kuna maslahi binsfsi kwenye miradi kama hii na ndio maana haikuwekwa hadharan ijadiliwe kabla ya kusainiwa. Mungu atujalie tutakuja kufahamu yaliyo nyuma ya pazia
 
hivi chama cha upinzani kikiingia madarakani kinaweza kuvunja mikataba yote laghai?? nadhani CDM inabidi kufanya hivyo
 
Frankly speaking mie nshaona ntakufa maskini kwa kupiga kelele huku taifa linaisha. Sasa hivi nimeamua kuweka jitahada zangu zote nami nijiunge katika kujifisadisha mema ya nchi. Haiwezekani mie niwaangalie tu na kulalamika huku kila siku hali ni afdhali ya jana......."If you cant beat them, join them".....and I will be willing to face the consequences!
 
Basi tujengee wewe hiyo bandari bila masharti

Dah yani wewe ndio umefilisika kabisa unaacha kuchangia mada una mu attack mleta mada as if una ugomvi nae! yeye kaleta mada kiungwana kabisa ili tuijadili, na kama huna cha kuchangia basi kaa kimya
 
bora uwe maskini lakini sio kunyimwa uwezo wa kufikiri
ukisoma haya masharti unaona yana manufaa kwa Mtanzania au ndio ukoloni halisi?
tumia akili kufikiri sio kuunga kila kitu mkono kwa vile umerudi CCM
watu kama hawa ndio walipiga makofi na kushadadia utiaji sahihi bila kujau kilichomo ndani.

Basi tujengee wewe hiyo bandari bila masharti
 
Duniani hakuna nchi mjomba wetu. Tusipozinduka na kukubaliana na ukweli huu basi siku zote tutakuwa shamba la bibi.
Really, how important is that Bagamoyo port to Tanzania and its sojourners? The nation is sacrificed just for Ukwereland.
 
Basi tujengee wewe hiyo bandari bila masharti

Ndugu mbona unakosa hekima kiasi hicho? wewe ni Mtanzania kweli? mleta mada ameleta mada kwa maslai ya Taifa,wewe unaleta kebei? ubongo wako una uwezo mdogo sana kuliko wanafunz waliopata div 0
 
Duu Ee Mungu wangu Tanzania ni maskini milele pamoja na vyote tulivyonavyo, Kwa kweli Rais hapa kabugi sana. Kwa hapo hata mimi naweza kubadilisha maamuzi ningekuwa Rais.Miaka hamsini haya ni sawa na yale yale ya Mkapa ya kubinafsisha mashamaba wanayolima wazazi wetu kwa miaka 99. Sioni Rais bado tz. Matumaini yangu kwa Tanzania kuendelea yamekufa.
 
Yaleyale ya wana Mtwara yanajirudia, kila mwamba ngozi kama huvutia kwake. Je tutafika?
 
Hapa kuna walakini hebu tuwekee copy au nakala ya hiyo contract! Mambo ya kujadili vitu kumbe mtu alikaa chini na kuandika tuu na kuweka huko fb na wewe umeleta hapa bila hata kuthibitisha kama kilicho andikwa kwenye huo mkataba ni hiki au lah!
Let me doubt your thread contents!
 
Hapa kuna walakini hebu tuwekee copy au nakala ya hiyo contract! Mambo ya kujadili vitu kumbe mtu alikaa chini na kuandika tuu na kuweka huko fb na wewe umeleta hapa bila hata kuthibitisha kama kilicho andikwa kwenye huo mkataba ni hiki au lah!
Let me doubt your thread contents!
Mkuu kama ni uzushi, basi mikataba hiyo itawekwa wazi na hata bungeni itapelekwa ikibidi, ila kama ni kweli hutasikia lolote zaidi ya kukanusha bila kuitoa hadharani mikataba hiyo.

Kitu kingine kinachonipa wasi wasi ni kuwa, hapa JF tuna watu kama Nape lakini wako kimya tu!Bila shaka wangeshajitokeza kufafanua japo mambo fulani fulani ingawa wao sio wasemaji wa serikali.Hili nalo ulizingatie sana.
 
Wachina wanajua tuna mafuta,uranium etc etc.tatizo kubwa la China ni mafuta kupower maendeleo yao.Wanajua kabisa huo ukanda wa pwani una mafuta na gasi tele.In future wataomba wao ku extract!Hiyo bandari ndio itakuwa dump cheap bidhaa zao.

Tumekwisha
 
ile hotuba ya jk ilikuwa inaponda watu wa magharibi,kumbe mambo ndo haya ya uchina?hiyo bandari ya bagamoyo inaulazima gani kwa sasa kama ya hizi nyingine zimepitwa na mombasa?
 
Wakuu maandamano yafanyike fasta kupinga hii mambo ya JK, huyu alisaini aje atusomee masharti mbele ya andamano
 
Back
Top Bottom