ndugu zangu nipo kwa mala nyngne kwenye jukwaa hili nikiomba kwa yeyote anaejua majina ya vitabu vya masomo ya phy.chem.na bios kwa sylbc.mpya ikiwezekana na wastani wa bei zake.nitashukuru kwa ushiriki wako. nawasilisha

A-level mkuu.
O- level au A- level?
Ndo umeanza kujiita docta mapema hvo?subiri kwanza kuliwa kichwa na mama ndalichako.
sivyo mi ni mzazi c mwanafunz hizo zana vitabu ni maandaliz ya mwanangu anaetarajia ku join v hivyo ndal chk hana pa kunikuta.
Nisikize mimi nimesoma A-levo na nimepiga tatu,haya tafuta hivi
1.Physics:::UP,Tom Duncan
2.Chemistry:::::Ramsden
3.Biology::Understanding Biology(Bonge la kitabu jekundu)
nashukuru nitavifuatilia ili mwanangu acje kusema nimemharibia mambo naamini nitapata
{Physics}
CHAND ya V na VI.@ 35,000 kwa mikoani kwa Dar ni Bei nafuu kidogo
NELKON @25,000 mpaka 30,000
ROGER @ 75,000
CALCULATION FOR PHYSICS, Hii bei yake siijui ila kaulizie madukani.
{CHEMISTRY}
CHAND ya V na VI @ 35,000,kwa Dar inaweza kuwa chini kidogo
RAMSDEN @25,000
{BIOLOGY}
Hapa kuna vitabu vingi sana ila Taifa linasuggest Utumie BIOLOGICAL SCIENCE{B.S}
Karibu udoktani.
Maneno huumba so through that he can achieve
Nisikize mimi nimesoma A-levo na nimepiga tatu,haya tafuta hivi
1.Physics:::UP,Tom Duncan
2.Chemistry:::::Ramsden
3.Biology::Understanding Biology(Bonge la kitabu jekundu)
umepga 3 division au pts,maana wenye pts 3 huwa hawajisifii ovyo kama wewe?