Bishazo_june
Member
- Jul 3, 2023
- 42
- 55
Kwa anaejua ni vitabu gani vinaweza kuwa msaada mkubwa Kwa mwanafunzi anaeanza form five PCB anisaidie Kujua ni vatabu gani....
Vya Chand na BSKwa anaejua ni vitabu gani vinaweza kuwa msaada mkubwa Kwa mwanafunzi anaeanza form five PCB anisaidie Kujua ni vatabu gani....
Aongeze na vitini vya Mandia na MbugaVya Chand na BS
Miaka yetu physics ilikua nelkonPhysics ni Chand tu kwa Bongo afu ni zile example Yani Yale maswali yaliyojibiwa na Chand ndo yanayotoka so akomae nayo.
Biology ni BS na chemistry atumie TIE Yuko vizuri sana kwa SoMo la chemistry
Note: Kwa sasa Baraza linatoa msisitizo kwa wanafunzi kusoma na kutumia vitabu vya TIE kuliko haya mavitini kwa sababu za mabadiko ya kimtaala.
VIJANA SOMENI MUELEWE MSIKARIRI MTAUMIA PCB NI NGOMA NZITO LAKINI AS TIME GOES EVERYTHING WILL BE ALRIGHT
Ndo ivo nelkon alikuwa na vupo vizuri sana sema kizazi hiki wanapenda slope sana kwaiyoo serikali imewaletea Chand kwa mseleleko zaid