Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 567
Haitazidi laki 2.5 kwa ka gari ka kodi ya m4 ila ningejua gari gani ningekujibu vizuri zaidi.Habari,
Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam.
Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million hivi. Mbali na Gharama za mtu wa Clearance 200,000/- kuna gharama zozote nyingine ninazotakiwa kulipia pale bandarini?
Nimesikia kama kuna tozi ya ushuru wa bandari,
Naomba kufahamu ni kiasi gani au wapi naweza kufanya calculation zake?. Labda gharama zao zinaanza baada ya muda gani kupita?
Nashukuru sana kwa Msaada na taarifa hizi muhimu.
Ni nissan Tiida naitarajia mwanzo wa mwezi ujaoHaitazidi laki 2.5 kwa ka gari ka kodi ya m4 ila ningejua gari gani ningekujibu vizuri zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tovuti ya TRA hii naijua na nimeshakadiria...ni kwa ajili ya Ushuru wa Mapato na Uchakavu tu kaka, Bado Bandari waana Tozo yao inaitwa Ushuru wa BandariIngia website ya tra kuna kila kitu utaingiza details ya hiyo gari then utapata makadirio yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Wharfage, hanling and DO huwa wanna charge per CBM.Kaka nime double check document haina hizo tozo ila nimepata Invoice ya kulipia Wharfage USD 78,220.28 TPA Handling 227,833.84 na Delivery Order 174,242.66 hizi tozo ni sawa na zina maana gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tpa handling ndio hiyo.Kaka nime double check document haina hizo tozo ila nimepata Invoice ya kulipia Wharfage USD 78,220.28 TPA Handling 227,833.84 na Delivery Order 174,242.66 hizi tozo ni sawa na zina maana gani?
Sent using Jamii Forums mobile app