Msaada ushauri kesi za jamhuri

Pole sana mkuu, naamini ukipambana utapata mali zako na fidia japo kunaweza kuwa na usumbufu wa hapa na pale. Binafsi nakutakia kila la heri
 
Shukrani mkuu. Najifunza mengi kupitia hili jambo. Kuna mambo yanatokea sikuwahi kujua ni kweli yanatokea mpaka nilipofika sero na kuishi mle.
 
Acha tu mkuu, kama hayajakupata huwezi jua magumu ya mambo ya kesi, hata ukisikia kuwa kuna watu wanasingiziwa kesi utachukukulia poa.
 
Ni kweli mkuu. Changamoto ni nyingi, yaani ukishaingia tu polisi, suala lako kuja kuisha ni umepata hasara na kupoteza muda wa kutosha bila kujali una hatia au huna, they don't care kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…