Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,440
- 2,693
Hapana boss. Ilikuwa inahusu masuala ya ITMkuu ofisi ilikuwa ya kubadilisha fedha za kigeni?
Asante boss. Ngoja tuwasubiri
Mkuu mbona kama kesi ni kama yangu, japi mim yangu nimeikimbia mpaka sasa sijui hukumj yakeAsante boss. Ngoja tuwasubiri
Vifaa walirejesha mkuu ? Au uliwaachia kila kitu boss??Mkuu mbona kama kesi ni kama yangu, japi mim yangu nimeikimbia mpaka sasa sijui hukumj yake
Niliwaachia huko huko, simu na laptop, ila mimi kesi bado kuishaVifaa walirejesha mkuu ? Au uliwaachia kila kitu boss??
Pole sana mkuu. Boss binafsi hivi vifaa nimetumia gharama na muda mrefu sana kuvipata, kuwaachia naona ni jambo gumu, tofauti na hilo kesi yangu ni ya ajabu sana mpka sometimes naona cybercrime hawana kazi ya kufanya pale pamoja na Taasisi husika inayoshtaki. Wamenitia hasara sana kwa jambo la lisilokuwa hata na maana, ndiyo maana nataka vifaa hivyo virudi vikiwa vizima na muda wangu niliopoteza zaidi ya mwaka sasa nilipwe fidia, tofauti na hilo nitawatafuta watu wangu mwenyewe huko mbele.Niliwaachia huko huko, simu na laptop, ila mimi kesi bado kuisha
Ngoja wataalamu wa Sheria waje mkuuPole sana mkuu. Boss binafsi hivi vifaa nimetumia gharama na muda mrefu sana kuvipata, kuwaachia naona ni jambo gumu, tofauti na hilo kesi yangu ni ya ajabu sana mpka sometimes naona cybercrime hawana kazi ya kufanya pale pamoja na Taasisi husika inayoshtaki. Wamenitia hasara sana kwa jambo la lisilokuwa hata na maana, ndiyo maana nataka vifaa hivyo virudi vikiwa vizima na muda wangu niliopoteza zaidi ya mwaka sasa nilipwe fidia, tofauti na hilo nitawatafuta watu wangu mwenyewe huko mbele.
Nawasubiri bossNgoja wataalamu wa Sheria waje mkuu
Shukrani sana. Hili suala nitalifuatilia kwa moyo wote. Inauma sana mtu unachukuliwa vifaa vyako vyote vya kazi na kuachwa mtupu kwa kesi ambayo ukikaa na kuifikiria unabaki jiuliza hivi ndivyo mambo yalivyo nchini kwetu kweli? Nawaza wanaokutwa na kesi za mauaji huwa wanapitia mangapi kama yangu ya kawaida kabisa tena ya kutumia logic inakaa mwaka mzima.Kudai fidia ya usumbufu unaruhusiwa. Na ukidai hiyo fidia omba na kupewa vifaa vyako vikiwa salama.
Mkuu acha na kesi za Cyber crime, yaani kakesi kanaanza mdogo mdogo lakini mwisho wa siku kanakutia hasara na kuharibu image yako. Yaani mkuu nikikuambia sikudhani iko siku ningekanyaga kisutu lakini nikafika huko, acha tuPole sana mkuu. Boss binafsi hivi vifaa nimetumia gharama na muda mrefu sana kuvipata, kuwaachia naona ni jambo gumu, tofauti na hilo kesi yangu ni ya ajabu sana mpka sometimes naona cybercrime hawana kazi ya kufanya pale pamoja na Taasisi husika inayoshtaki. Wamenitia hasara sana kwa jambo la lisilokuwa hata na maana, ndiyo maana nataka vifaa hivyo virudi vikiwa vizima na muda wangu niliopoteza zaidi ya mwaka sasa nilipwe fidia, tofauti na hilo nitawatafuta watu wangu mwenyewe huko mbele.
Mkuu mimi ina miaka mitatu sasa, na hukana la maana na vifaa nimeacha polis, fine ya mahakama ni kubwa sana huwezi amini labda kama ufight na wanasheria muipangueShukrani sana. Hili suala nitalifuatilia kwa moyo wote. Inauma sana mtu unachukuliwa vifaa vyako vyote vya kazi na kuachwa mtupu kwa kesi ambayo ukikaa na kuifikiria unabaki jiuliza hivi ndivyo mambo yalivyo nchini kwetu kweli? Nawaza wanaokutwa na kesi za mauaji huwa wanapitia mangapi kama yangu ya kawaida kabisa tena ya kutumia logic inakaa mwaka mzima.
Ni changamoto mkuu. Ila kwa hii yangu ni kesi ambayo sijahusika kabisa. Ni katika harakati za biashara mzigo ufike kwako hujui kuwa kimebebwa huko bila idhini ya wahusika. Nimewatajia watu wao bado wanakomaa na mimi na kunihisi ndiyo mhusika mkuu aliyebeba. Mimi vifaa vyangu tu ndo nahitaji, nimewekwa ndani zaidi ya siku 10, dhamana nilipata baada ya kupambana sana na haikuwa rahisi. Nimetoka nikajua suala litashugulikiwa mapema ila ni mwaka unaambiwa manasheria kasafiri, mara mgonjwa, mara subiri kidogo yaani ni usumbufu tu.Mkuu acha na kesi za Cyber crime, yaani kakesi kanaanza mdogo mdogo lakini mwisho wa siku kanakutia hasara na kuharibu image yako. Yaani mkuu nikikuambia sikudhani iko siku ningekanyaga kisutu lakini nikafika huko, acha tu
Mkuu nishaandaa list yangu hapa ya watu wangu, watanilipa hasara waliyonisababishia.Mkuu mimi ina miaka mitatu sasa, na hukana la maana na vifaa nimeacha polis, fine ya mahakama ni kubwa sana huwezi amini labda kama ufight na wanasheria muipangue