Nawashaur mkisha atach jarbun kuangalia report maana unaweza attached kikakubal kuwa attached lakn kisiendeSi Bora Hawa jamaa wangetumia email ni rahisi kuliko mfumo wao huu. Kuna uwezekano wa kutajirisha makampuni ya simu kipindi hiki kwa sababu zaidi ya masaa 48 unatakiwa uwe online kujaribu kufikia hiyo site.
Slp ganVp slp mbona haipatkan
Me imebak tu kujaz mikoa ya kaz bassawa,vip wew umefanikiwa ku upload vyeti? maana hapo ndo mziki ulipo,mwenye ujuz atujuze jamani
Transcript yako ina ukubwa gani mkuu? Mi ina KB 500 imegoma ku uploadMe imebak tu kujaz mikoa ya kaz bas
700 lakn inaonyesha ime upload lakn nikija kwenye report inakuwa haipo whyTranscript yako ina ukubwa gani mkuu? Mi ina KB 500 imegoma ku upload
Sent using Jamii Forums mobile app
Transcript si ndo cheti cha chuo amaTranscript yako ina ukubwa gani mkuu? Mi ina KB 500 imegoma ku upload
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheti cha chuo kina kubal lakin kwenye report hakipo
Hapana. Kuna transcript (Hii inaonesha matokeo yako yote kuanzia mwaka wa kwanza -3 ) na degree certificateTranscript si ndo cheti cha chuo ama
Nawewe mpaka leo hujui tofauti ya transcript na cheti? Huo ualimu ulipewa au ulifaulu?Transcript si ndo cheti cha chuo ama
Unatumia browser gani na kifaa gani simu au computer?Cheti cha chuo kina kubal lakin kwenye report hakipo
LaptopUnatumia browser gani na kifaa gani simu au computer?
Msamehe bure alipo amechanganyikiwa. Hujawahi kuona mtu anaibiwa gari lkn anajisachi mpaka kwenye mifuko ya shati, suruali na anaenda kuliangalia ndani ya nyumba? Hapo alipo anatumia akili siyo yake.Nawewe mpaka leo hujui tofauti ya transcript na cheti? Huo ualimu ulipewa au ulifaulu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Browser?Laptop
Ujue nimeupload lakn inakataa mpk nikahs kingereza changu ndo hakina kaZMsamehe bure alipo amechanganyikiwa. Hujawahi kuona mtu anaibiwa gari lkn anajisachi mpaka kwenye mifuko ya shati, suruali na anaenda kuliangalia ndani ya nyumba? Hapo alipo anatumia akili siyo yake.
Mozila firefoxBrowser?
System imeelemewa na si unajua ma-IT wa serikali walivyo? JF inatumiwa na watu zaid ya laki 9 lkn ipo fasta, angalia hata Facebook zaid ya watu bilion 1 wanatumia lkn hii OTEAS imekuwa changamoto. Kibaya zaid serikali inajisifia.Ujue nimeupload lakn inakataa mpk nikahs kingereza changu ndo hakina kaZ
Hahhahshs powaSystem imeelemewa na si unajua ma-IT wa serikali walivyo? JF inatumiwa na watu zaid ya laki 9 lkn ipo fasta, angalia hata Facebook zaid ya watu bilion 1 wanatumia lkn hii OTEAS imekuwa changamoto. Kibaya zaid serikali inajisifia.
Komaa kibishi kibishi