Msaada: UDSM vs Makerere vs University of Nairobi

Msaada: UDSM vs Makerere vs University of Nairobi

Wapi Wazee WA chikumi chikumi, Muk Nadhani ni still the best Unii hapa East Afrika. Kule watu hawakariri papers, Halafu huwa nashangaa sana wabongo tunaposema elimu yetu kubwa kuliko Uganda na Kenya!?? 3 Sijui huwa inatumika kigezo gani hapa [emoji84]
MUK ni chuo kingine level nyingine huwezi kucompare na UDSM,
Ukweli utatuweka huru tuache maneno watz tufanyeni vitendo vyakwetu ni vibovu ndo maana hata hatuvithamini leo walimu tunazoa kutoka kenya na uganda waje kufundisha watoto wetu angalia kwenye mashule ya private yanayofanya vyema utagundua wakenya na waganda wamejazana.
Leo watz bidhaa za bongo{nyumbani} hawavithamini yaani leo mtu yupo radhi anunue paracetamol au ACTION ya kenya kuliko ya tanzania kwa sababu wanajua vyakwetu ni uozo.
 
Vyuo vyetu vimeharibiwa na mfumo wa rushwa

Walimu wanafundisha ukija mtihani hakuna hata swali linalolingana na maada alizowahi toa .

Kuna vyuo watu wanakuwa wanasolve paper tu kwa kuwa mwl kamwambia ni paper zipi atachomoa maswali

Nimekuja gundua hili wakati namaliza chuo


Kumbe mpaka assessment wenzetu wengi walikuwa nazo hii ni hatari sana kwa taifa
 
Sasa Kama mtu from bachelor mpaka PhD lugha ya kufundishia ni Kimalkia lakini bado watu wanaboronga hata kukiongea sembuse Hayo material
 
Back
Top Bottom