MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,088
- 65,058
Wasalaaam,
Hivi kati ya hivi vyuo vikubwa Afrika Mashariki kipi:
Hivi kati ya hivi vyuo vikubwa Afrika Mashariki kipi:
- kinatoa wanafunzi wazuri wenye uwezo wa kushindana kwenye soko la Ajira kimataifa?
- Kinafanya tafiti nyingi za Kitaalamu zenya manufaa makubwa kwa jamii?
- Kina Uhuru Mkubwa wa kielimu (Intellectual Freedom) ambao hufanya vipaji vya wanafunzi na Wahadhiri kuonekana kwa Urahisi?
- Kinawapika viongozi wenye kuweza kuenzi historia na tamaduni za Kiafrika?
- Kina Mazingira Mazuri yenye kumuwezesha mwanafunzi kusoma vizuri?