songambele2012
Member
- Jan 9, 2012
- 74
- 49
Fanya uchunguzi utaona na Mandela university The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) wako vema kwenye tafiti pia kwa Tanzania.Kwenye Research Makerere wanajitahidi sana.
Fanya uchunguzi utaona na Mandela university The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) wako vema kwenye tafiti pia kwa Tanzania.Kwenye Research Makerere wanajitahidi sana.
Ndio ndugu.Mkuu,
UDSM kimekaa Ki-CCM?
Wapi Wazee WA chikumi chikumi, Muk Nadhani ni still the best Unii hapa East Afrika. Kule watu hawakariri papers, Halafu huwa nashangaa sana wabongo tunaposema elimu yetu kubwa kuliko Uganda na Kenya!?? 3 Sijui huwa inatumika kigezo gani hapa [emoji84]KIKONI MAKERERE nimepamisi sana ukizungumzia kwenye rank ya vyuo bora east africa mi nafikiri makerere bado wameing'ang'ania nafasi yao waganda wamejitahidi sana kukisimamia japo kuna kipindi yule mzee alitaka kukiingiza kwenye mambo ya siasa.
Ikiwepo migomo ya ajabuajabu kwa sasa mambo yamekaa sawa.
By the way kama tujuavyo wakenya ni wazee wa kumfundisha mwanafunzi maisha na siyo kwetu hapa unafundisha kukalili vitini ili ujibu kwenye mitihani wao kidogo wanasimama kwa mwanafunzi kumuweka awe kama dhahabu kwenye soko la ajira yaani naamanisha jamaa wanajitahidi kutoa creams na siyo makapi.
Leo hii ukimuweka mwanafunzi wa nairobi na wa udsm wajieleze tu kile wamekisoma utagundua wanafunzi wetu mazingira hayajajengwa vizuri kumuandaa mwanafunzi zaidi kumsaidia mwanafunzi amalize chuo.
Kila Chuo kina course ambazo ni Best kuliko chuo kingine so ukilinganisha kwa overall hutaweza hasa kwa swali lako wanafunz best katika soko la Ajira.Wasalaaam,
Hivi kati ya hivi vyuo vikubwa Afrika Mashariki kipi:
Hebu tusaidiane tafadhali......
- kinatoa wanafunzi wazuri wenye uwezo wa kushindana kwenye soko la Ajira kimataifa?
- Kinafanya tafiti nyingi za Kitaalamu zenya manufaa makubwa kwa jamii?
- Kina Uhuru Mkubwa wa kielimu (Intellectual Freedom) ambao hufanya vipaji vya wanafunzi na Wahadhiri kuonekana kwa Urahisi?
- Kinawapika viongozi wenye kuweza kuenzi historia na tamaduni za Kiafrika?
- Kina Mazingira Mazuri yenye kumuwezesha mwanafunzi kusoma vizuri?
Kaka umenena vyema, mimi ni zao la Mzumbe ila SUA nawakubali sana, ile ndo Elimu. Sio faculty ya mainjinia kwa zaidi ya miaka40 hata bajaji yao hawana. Maprof. feki wanakimbilia siasa wanashindwa kuimplement walichokisomea ni shida.SUA wanafunzi wako hata mtaani tunawaona.
Uwezo wao ni mkubwa sana, sema chuo hakina Facility nyingi na bajeti ni finyu.
Vipi mkuu, yani UDSM uilinganishe na Universities za Makerere na Nairobi? Tumia akili mda mwingine ufiche ujinga wako.bila shaka ww ni kilazer wa teku o udom!
UmenenaMlinganisho wa ubora wa vyuo vya East Africa unapaswa kuzingatia historia na background ya kielimu ya graduates husika. Makerere, University of Nairobi na UDSM vyote vilikuwa part ya mfumo mmoja wa elimu pale zamani japo Makerere ilikuwapo kabla ya UDSM.
British walijenga Makerere katika standards ambazo zingesuit mfumo wa elimu wa dunia. Sisi tulijenga UDSM yetu wenyewe kufit matakwa yetu ambayo siasa ndio ilikuwa kipaumbele. Ukiangalia graduates wetu wa mwanzo utagundua kitu kikubwa, wote walikuwa na sifa moja kubwa kujihusisha na siasa.
Mfumo wa UDSM umeendelea kuwa wa kisiasa zaidi kuliko muono wa kitaalam hadi sasa. Vyuo vyetu havipewi pesa za research wala kuboresha miundombinu ya kusomea tofauti na vyuo vya Makelele na UNairobi.
Jambo la mwisho kabisa ni ubora wa wanafunzi wanaopokea. Uganda na Kenya zina mfumo wa elimu Kingereza ambao umekuwa customised kutokana na mfumo wa Cambridge. Sisi wetu tumeutengeneza wenyewe na tunaubadili kila mara.
Mfumo ule wa Cambridge unajenga mwanafunzi kujiamini na kuexplore vipaji vyake kupitia exhibitions, debates, speeches etc. Haya mambo kwetu hayapo. itakuwa ni jambo la ajabu sana kuwafananisha watu waliojengewa kujiamini na kujieleza toka utotoni na hawa wa UDSM wanaojifunzia kwenye presentation kumi za chuo.
UDSM inawezekana wanapitwa na wengine lakini shida kubwa sio chuo ni matatizo ya urithi na mfumo mzima wa elimu.
Kila Chuo kina course ambazo ni Best kuliko chuo kingine so ukilinganisha kwa overall hutaweza hasa kwa swali lako wanafunz best katika soko la Ajira.
Mkuu kwahyo siku hizi kyambogo kipo juu ya makerere siyo?Vyuo vikuu na bora zaidi haujavitaja hapo.
Tz- UDOM
KE- MASENO
UG- KYAMBOGO