Msaada UDOM third batch missmatch of names

cripper

Member
Sep 29, 2016
76
20
Naomba ufanunuzi jamani kwa hii issue ya missmatch of names.
nahitaji kujua kama-:
1. Umechaguliwa na chuo ila TCU awaja approve.

2. Je ukienda kudhibitisha taarifa utaruhusiwa kuendelea na course waliyokuchagua au mpaka uombe tena.

88f6a55d3b5162cc13a1062118d50e63.jpg
 
Relax, na ujipange kujiunga na chuo wakati huku unasubiria kuwa approved by TCU mkuu
 
Wakuu naomba msaada mwenye pdf ya third batch aniangalizie jina (SYONY B MWALONDE) Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom