Msaada UDOM third batch missmatch of names

Msaada UDOM third batch missmatch of names

cripper

Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
76
Reaction score
20
Naomba ufanunuzi jamani kwa hii issue ya missmatch of names.
nahitaji kujua kama-:
1. Umechaguliwa na chuo ila TCU awaja approve.

2. Je ukienda kudhibitisha taarifa utaruhusiwa kuendelea na course waliyokuchagua au mpaka uombe tena.

88f6a55d3b5162cc13a1062118d50e63.jpg
 
Relax, na ujipange kujiunga na chuo wakati huku unasubiria kuwa approved by TCU mkuu
 
Wakuu naomba msaada mwenye pdf ya third batch aniangalizie jina (SYONY B MWALONDE) Msaada tafadhali.
 
course aliyo chagiliwa ni B.of education in guidance and counseling
Thanks sana mkuu, vp inatakiwa tufanyeje hapo? Ama sijaelewa pia yani names gan zipo mismatch? Katika vyeti au wap?
 
Thanks sana mkuu, vp inatakiwa tufanyeje hapo? Ama sijaelewa pia yani names gan zipo mismatch? Katika vyeti au wap?
hapo midle name inabidi iendane na cheti.
iwe initial isiwe full
 
Back
Top Bottom