Msaada: Uandishi wa project proposal

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Naombeni msaada tafadhali.
Nimenunua eneo la shamba la ekari 4 ambalo nahitaji kulipanda miti ya mbao lote. Naomba kufahamishwa hatua za kuandika proposal kwa aina hii ya mradi na nielekezwe mashirika ambayo naweza kuipeleka ili niwezeshwe kufanikisha huo mradi.Natarajia kufanya shughuli hiyo kuanzia mwezi Nov mwaka huu ili kuwahi mvua za mwakani.

Nitawashukuru sana wana JF ambao watanisaidia kwa ushauri na kunipa changamoto za mradi huo.

Wasalaam!
 
Yaani ung-google kwanza interested investors (tanesco wamesinzia, mgololo wana mashamba yao). Jinsi ya kuandika proposal huwa inategemea matakwa ya mwekezaji. Angalia Jatrofa stakeholders in tanzania uone pa kuanzia.

Kila la kheri
 
mh! ni wazo zuri ila naona kama ni ka eneo kadogo...kuwapata investors kwa eneo dogo kiasi hicho ni ngumu kdogo...au unaamnisha proposal ya kupata loan? kwanza eneo lenyewe unalimiliki kisheria? yaani una hati?

Naam, kisheria hilo eneo nalimiki mimi, je ni kiasi gani cha eneo linaweza kufaa walau kwa kiwango cha chini? naweza kufanya maarifa mengine
 
Amina mkuu, naheshimu sana wazo lako.
 
Ninafaham namna ya kuandika mirad ila huwez kukurupuka na kutoa msaada,lazma ujue aina ya miti unayotaka kupanda na mambo mengne mengi,TIB wana softloans pale
 
Miti ambayo nahitaji kuipanda ni miti ya mbao hasa mitiki, grivelia na (m-mavimavi) sijui kama unafahamu huo mti ndani ya mabano.
 
Back
Top Bottom