Removers
Member
- Nov 1, 2018
- 73
- 40
Hawafai , muhimu tuwe makiniiHawa vijana wanaotimliwa kazi kwenye hayo makampuni pia IT section za benk kwa kufanya uhuni ni hatari.

Naunga mkono hoja, nlitaka kusema iliWakuu hii story kwangu bado nashindwa kuamini kama kweli hao jamaa wame break hizo security kirahisi simaanishi haliwezekani ila sio kirahisi ivo, Nashauri Point muhimu zaidi ni kuanza kuongea na Wife vizuri sana muite Sehemu msisikilize anavyojieleza, I smell something fishy hapo, simaanishi mke kakuzunguka ila watch her steps carefully hawa viumbe hawa hawa hawa hawa.
Ila swala la Internet àcces apo set upya tu au may be jamaa awe ali download firewall ya kuzinyima acces hizo app ila kwa inshu ya bank apo bado naumiza kichwa
Hasa pale aliposema mpunga ushaenda
Mkeo na huyo Jamaa wanafahamiana vzr. Huyo Jamaa NI mchepuko WA mkeo. I give 💯 % in every word that constitute my sentence.Wakuu ninaomba msaada wenu katika hili...
Ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 23/05/2020 nilipokea taarifa kutoka kwa wife akinitaarifu kuwa ametapeliwa na wakala wa mitandao ya simu aliyekuwa amevalia mavazi na kitambulisho cha kampuni ya TIGO.
Wakala huyo alifika dukani kwake na kumwambia kuwa anaunganisha vifurushi vya chuo, hapo dukani palikuwa na wateja wawili ambao nao waliomba kupatiwa hiyo huduma kutoka kwa wakala huyo na walionesha kuridhika na huduma yake.
Wife alivyoona wateja hao wamepatiwa huduma na wameprove inafanya kazi vizuri naye aliomba aunganishwe. Alimpatia simu wakala huyo na, kutokana na maelezo yake, alikuwa anashuhudia kila kitu alichokuwa anafanya. Anasema kwamba wakala huyo alitumia muda mwingi katika eneo la 'Access Point Names' (APN).
Baada ya dakika kadhaa alimaliza shughuli yake na kumrudishia wife simu yake na alimtaka ajaribu kama mtandao unafanya kazi ambapo mwanzoni uligoma, akamrudishia simu akaenda tena kwenye APN akarekebisha akamwambia ajaribu ndipo mtandao ukarudi. Alimuaga na kumuhakikishia kwamba kila kitu kipo vizuri na atarudi baadae ili kupata mrejesho. Katika mchakato wote huo, wakala hakuomba wala kuonesha dalili yoyote ya kutaka kufahamu namba ya siri ya TigoPesa wala Bank katika mazungumzo yake.
Baada ya wakala huyo kuondoka wife alipata hitaji la kuhamisha fedha kutoka CRDB SimBanking kwenda kwa mtu aliyemuagiza mzigo. Tatizo lilianza kila anapoingiza menu ya SimBanking (*150*03#) anapata error inayoleta ujumbe 'Try Again Later....'
Baada ya kujaribu muda mrefu bila mafanikio alinipigia na kuniuliza endapo SimBanking yangu inafanya kazi, nilimwambia ipo poa. Pia baada ya kuconfirm na watu wengine na kuambiwa hakuna shida yoyote ndipo alianza kuhisi 'hali ya hatari' kwamba kuna kitu yule wakala amefanya kwenye simu yake.
Alipiga simu Huduma kwa Mteja CRDB akaambiwa kuwa muda si mrefu ametoa fedha (kiasi kimehifadhiwa) kutoka katika akaunti yake kwenda kwenye namba ya VODACOM +255 743 938 273 iliyosajiliwa kwa jina la NYAMIZI MASANJA. Pamoja na wife kuwataarifu watu wa Bank situation iliyotokea still walisisitiza kuwa fedha hizo amezihamisha yeye. Kitu pekee ambacho wameshindwa kukitolea maelezo hadi sasa ni error ya 'Try Again Later....' ambayo ni kama vile wameblock asiweze kuaccess SimBanking yake.
Alipiga simu VODACOM na kutaarifiwa kwamba fedha hiyo imeshatolewa kwa wakala na hivyo hawana cha kufanya. Tuliwarudia tena watu wa TIGO na walisisitiza kuwa endapo Transaction hiyo ingefanyika kwa TIGOPESA basi wangewajibika kuifuatilia lakini kwakuwa ni Bank tufuatilie kwenye taasisi husika!
Pia namba hiyo ya wife imeunganishwa na
NMB Mobile Banking, tulipoangalia salio huko napo tulikuta pesa yote imechukuliwa pia. Na kila akiingiza menu ya NMB Mobile Banking *150*66# nayo inaleta same error ya 'Try Again Later....' Kiufupi ni kwamba Wakala huyo aliweza kubreak Bank Accounts zote ambazo zimekuwa linked na hiyo namba ya TIGO na kuziblock zisiweze kutumika kupitia namba hiyo (hadi sasa)!
To cut the long story short, ni kwamba tangu siku hiyo ya Jumamosi, wife hawezi tena kuingia kwenye SimBanking & NMB Mobile Banking, hapati meseji za TIGOPESA, vifurushi na meseji za aina zote zinazohusiana na huduma za TIGO. Pia Internet haifanyi kazi, App pekee ambayo inakubali mtandao ni WhatsApp tu, but the rest (Google, Facebook, etc) hazifanyi kazi kabisa!
Personally, huwa ni mtundu kiaina kwenye mambo ya IT but this level of crime has amazed me so much. Inakuwaje mtu anaweza kuingia kwenye Bank Accounts na kujitumia pesa bila namba ya siri? How come baada ya kufanya hivyo anakuwa na uwezo wa kublock systems zote zinazohusiana na namba husika in just a matter of few minutes? Nimekuwa nikiamini kuwa Security ya Banking Systems huwa ni Strong sana lakini hii situation imebadilisha mawazo yangu completely!!
Wakuu, ninaomba tujadili inawezekanaje mtu akaweza kubreach systems za Bank kirahisi na ndani ya muda mfupi kiasi hicho. Is it possible mhusika akawa ni mtu mmoja? Au ni hacking device/software ipi ina uwezo wa kuscan log files/strokes za password zilizokuwa typed kwenye simu na kuweza kulock kila kitu kinachohusiana na device husika?
Ninatanguliza shukrani na samahani kwa andiko refu!
View attachment 1459093View attachment 1459092View attachment 1459091View attachment 1459094View attachment 1459097
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mawili hapo
1. Mke kashirikiana na huyo tapeli, wanawake sio wa kuwaamini, kiufupi hakuna mtu unapaswa kumwamini kiasi kile.
2. Jamaa aliyetapeli ni mzuri kwenye IT na aefanya kazi kwenye hayo mabenki.
Sasa ili kutaka kujua kama huyo mke hajashiriki fanya kama unamwambia utaenda kwa Mganga wa Kienyeji Kigoma au Sumbawanga na ukazie hapo hapo uone anaitikiaje ..!? Ukiona anakuja na wazo la kuicrush hiyo ishu jua tayari mwizi unaye ndani kwako
Sent using Jamii Forums mobile app

Sumbawanga hakuna waganga siku hizi labda kigomaHamna, salio hakijawah pungua.Mkuu Sio kwamba ukituma elfu 20, wanakata na nyingine 20, halafu kny account yako inaonyesha umekatwa 20 badala ya 40?? Au nakua paranoia siku hizi lol
Bana siku ya kutapeliwa utajua baada ya deal done........Wife wako mzito sana aisee.!.akiendelea hivo atalizwa zaidi ya hapo..umemtoa wapi huyu???
Aisee ngoja nibadilishe password maana mimi natumia password moja kwenye tigopesa mpesa na simbanking. Japo si entertain watu wa njiani ila wacha nibadilishe tuKaibiwa kitoto sana
Iko hiviii, anakuja anakwambia naunga promotion
Unachekacheka
Anakuomba simu
Unatoa
Anapiga namba flani(sifundishi ukaibie watu), anafuata maelekezo ya hiyo menyu, inafika mahali anakwambia ingiza namba yako ya siri, usinionyeshe
Unaingiza, unabonyeza send, unamrudishia simu
Namba yako ya siri inakuwa sio sehemu ya machaguo yaliyotolewa kwenye menu, anapokea ujumbe unaosema chaguo lako 1234 sio sahihi
Hiyo 1234 ndio password yako, anakuwa ameshaiona, anajihamishia mpunga wako wote kwenye simu yako, anaitia simu yako kwenye barring, huyooooooo, anachanganya makalio, anaenda mtaa wa pili anachomoa mpunga kwa wakala, anadaka bodaboda, mburahati mpaka mbagala utampatia wapi tena. Ukimtafuta kwenye usajili wa simu, unakuta ni mbibi mmoja asiejua kusoma wala kuandika yupo nanjilinji mtwara vijijini ndani ndani huko, hana moja wala kumi na moja, walimtengenezea laini kimagumashi bila kujijua ndio wamepigia mishe.
Balaa linakuja kama password hiyo ya mpesa ndio hiyohiyo ya tigopesa, simbanking na nyinginezo, hapo mwamba atakuontesha kwann barakoa inaumiza masikio, utajuta. Atapita nazo kote huko.
NB. Kama unashida ya kuungwa bando la chuo tembela tovuti ya mtandao wako husika utapata maelekezo au fika ofisi kwao.
Hiyo system ya mfumo wa serikali ilishabadilisha tatizo hilo mkuu. Sa hivi huwezi fanya hivyoUyo msajili line kamuibia kijinga sana, alichokifanya uyo msajili line alitumia menu hii *152*00#, then baada ya hapo akabadili password za sehemu zote, kitaalam kwa watu waliosoma cyber security alitumia (social engineering)
Sent using komputa mpakato
Bana siku ya kutapeliwa utajua baada ya deal done........
Wanasema usimalize maneno.
Siku wakija kwako wanakuja na mbinu usiyoijua wewe ikiwa wengine wataiona ni ya kizembe.....
Hahahha hilo nalo wazo zuriKuna mawili hapo
1. Mke kashirikiana na huyo tapeli, wanawake sio wa kuwaamini, kiufupi hakuna mtu unapaswa kumwamini kiasi kile.
2. Jamaa aliyetapeli ni mzuri kwenye IT na aefanya kazi kwenye hayo mabenki.
Sasa ili kutaka kujua kama huyo mke hajashiriki fanya kama unamwambia utaenda kwa Mganga wa Kienyeji Kigoma au Sumbawanga na ukazie hapo hapo uone anaitikiaje ..!? Ukiona anakuja na wazo la kuicrush hiyo ishu jua tayari mwizi unaye ndani kwako
Sent using Jamii Forums mobile app

HWakuu ninaomba msaada wenu katika hili...
Ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 23/05/2020 nilipokea taarifa kutoka kwa wife akinitaarifu kuwa ametapeliwa na wakala wa mitandao ya simu aliyekuwa amevalia mavazi na kitambulisho cha kampuni ya TIGO.
Wakala huyo alifika dukani kwake na kumwambia kuwa anaunganisha vifurushi vya chuo, hapo dukani palikuwa na wateja wawili ambao nao waliomba kupatiwa hiyo huduma kutoka kwa wakala huyo na walionesha kuridhika na huduma yake.
Wife alivyoona wateja hao wamepatiwa huduma na wameprove inafanya kazi vizuri naye aliomba aunganishwe. Alimpatia simu wakala huyo na, kutokana na maelezo yake, alikuwa anashuhudia kila kitu alichokuwa anafanya. Anasema kwamba wakala huyo alitumia muda mwingi katika eneo la 'Access Point Names' (APN).
Baada ya dakika kadhaa alimaliza shughuli yake na kumrudishia wife simu yake na alimtaka ajaribu kama mtandao unafanya kazi ambapo mwanzoni uligoma, akamrudishia simu akaenda tena kwenye APN akarekebisha akamwambia ajaribu ndipo mtandao ukarudi. Alimuaga na kumuhakikishia kwamba kila kitu kipo vizuri na atarudi baadae ili kupata mrejesho. Katika mchakato wote huo, wakala hakuomba wala kuonesha dalili yoyote ya kutaka kufahamu namba ya siri ya TigoPesa wala Bank katika mazungumzo yake.
Baada ya wakala huyo kuondoka wife alipata hitaji la kuhamisha fedha kutoka CRDB SimBanking kwenda kwa mtu aliyemuagiza mzigo. Tatizo lilianza kila anapoingiza menu ya SimBanking (*150*03#) anapata error inayoleta ujumbe 'Try Again Later....'
Baada ya kujaribu muda mrefu bila mafanikio alinipigia na kuniuliza endapo SimBanking yangu inafanya kazi, nilimwambia ipo poa. Pia baada ya kuconfirm na watu wengine na kuambiwa hakuna shida yoyote ndipo alianza kuhisi 'hali ya hatari' kwamba kuna kitu yule wakala amefanya kwenye simu yake.
Alipiga simu Huduma kwa Mteja CRDB akaambiwa kuwa muda si mrefu ametoa fedha (kiasi kimehifadhiwa) kutoka katika akaunti yake kwenda kwenye namba ya VODACOM +255 743 938 273 iliyosajiliwa kwa jina la NYAMIZI MASANJA. Pamoja na wife kuwataarifu watu wa Bank situation iliyotokea still walisisitiza kuwa fedha hizo amezihamisha yeye. Kitu pekee ambacho wameshindwa kukitolea maelezo hadi sasa ni error ya 'Try Again Later....' ambayo ni kama vile wameblock asiweze kuaccess SimBanking yake.
Alipiga simu VODACOM na kutaarifiwa kwamba fedha hiyo imeshatolewa kwa wakala na hivyo hawana cha kufanya. Tuliwarudia tena watu wa TIGO na walisisitiza kuwa endapo Transaction hiyo ingefanyika kwa TIGOPESA basi wangewajibika kuifuatilia lakini kwakuwa ni Bank tufuatilie kwenye taasisi husika!
Pia namba hiyo ya wife imeunganishwa na
NMB Mobile Banking, tulipoangalia salio huko napo tulikuta pesa yote imechukuliwa pia. Na kila akiingiza menu ya NMB Mobile Banking *150*66# nayo inaleta same error ya 'Try Again Later....' Kiufupi ni kwamba Wakala huyo aliweza kubreak Bank Accounts zote ambazo zimekuwa linked na hiyo namba ya TIGO na kuziblock zisiweze kutumika kupitia namba hiyo (hadi sasa)!
To cut the long story short, ni kwamba tangu siku hiyo ya Jumamosi, wife hawezi tena kuingia kwenye SimBanking & NMB Mobile Banking, hapati meseji za TIGOPESA, vifurushi na meseji za aina zote zinazohusiana na huduma za TIGO. Pia Internet haifanyi kazi, App pekee ambayo inakubali mtandao ni WhatsApp tu, but the rest (Google, Facebook, etc) hazifanyi kazi kabisa!
Personally, huwa ni mtundu kiaina kwenye mambo ya IT but this level of crime has amazed me so much. Inakuwaje mtu anaweza kuingia kwenye Bank Accounts na kujitumia pesa bila namba ya siri? How come baada ya kufanya hivyo anakuwa na uwezo wa kublock systems zote zinazohusiana na namba husika in just a matter of few minutes? Nimekuwa nikiamini kuwa Security ya Banking Systems huwa ni Strong sana lakini hii situation imebadilisha mawazo yangu completely!!
Wakuu, ninaomba tujadili inawezekanaje mtu akaweza kubreach systems za Bank kirahisi na ndani ya muda mfupi kiasi hicho. Is it possible mhusika akawa ni mtu mmoja? Au ni hacking device/software ipi ina uwezo wa kuscan log files/strokes za password zilizokuwa typed kwenye simu na kuweza kulock kila kitu kinachohusiana na device husika?
Ninatanguliza shukrani na samahani kwa andiko refu!
View attachment 1459093View attachment 1459092View attachment 1459091View attachment 1459094View attachment 1459097
Sent using Jamii Forums mobile app
NWakuu ninaomba msaada wenu katika hili...

Watu ni mahacker wakikosa ajira aseWakuu ninaomba msaada wenu katika hili...