Nadu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 263
- 212
Unafikiri mwajiri akikaza atafungwa au atalipa faini? Sana Sana atalipa fine mambo yanakwisha we hutarudi
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka amasemea mwajir alipewa barua asiwafikuze kisa kudai haki zao hapo mazingira yanambana mwajir bora angemwongezea mkataba then ukiisha Ndo amfire
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app