Msaada: Tumepoteza kazi baada ya kudai haki zetu

Hebu tafuta mwanasheria yoyote anaweza kukupa msaada wa kisheria from a to z then ujue uanzie wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumpotosha Bure mwenzio.

Hakuna Cha Msaada wa kisheria hapo,

Sema aandae pesa ya kumuweka wakili.

Hivi, Wee huwajui mawakili wa Kitanzania?

Hata kama haiwezekani, Wao watasema inawezekana ili wapate Kazi.

HAMNA CHA BURE HAPA MJINI


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika utendaji Bora nilikuwa namba moja kwa kuongoza miezi mitano mfululuzo kwa performance kulinganisha na wenzangu tuliokuwa nao idara moja
Utendaji bora Sio kigezo cha Kuendelea Kuwepo Ofsini kwake.

Mkuu,
Umekosa kigezo Muhimu sana kwa Mfanyakazi bora kinaitwa "UTII"

Hata kama Unafanya kazi vizuri, ila kama ni MTU wa kuanzisha migomo na Migogoro kazini.

HAUFAI KWA MWAJIRI YOYOTE YULE.

Hakuna mwajiri yoyote Anaependa Mfanyakazi Mkorofi na Mhamasisha Migomo.

Hayupo na Hatokuja kuwepo Duniani Mwajiri wa namna Hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bradha hicho ndo ninachokitaka mkuu uwezekano upoje was kupata hizo stahiki zetu??
Kama hizo stahiki zipo kwenye maandishi/mkataba nadhani ni kutafuta wakili na kufungua kesi au la ni kupitia chombo kinachisimamia stahiki za wafanyakazi(Sijui kama kipo).
Cha kuzingatia ni gharama za ufuatiliaji kama zinakua na faida kwenu.Msije mkalipia milioni moja kufuatilia laki tano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wote ni watz.
Tunajuana.

Tofautiaha haki kwenye developed country na huku kajamba nani
Haki atapata kaka, Mimi nipo kampuni binafsi kuna kesi kama hizo nyingi tuu, watu wanapata haki....
Ila tuu kama amekaa mda mrefu kazini na hakuwahi kupata likizo hapa anayo point, ama anafanya kazi masaa mengi kuzidi yale yaliyoainishwa katika mkataba hapo point nyingine,
Yeye anaenda tuu pale wizara ya kazi na ajira si lazima aajiri wakili maana atasimamiwa na wakili wa serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah jamaa kawanyoosha, hii ni sawa na chuoni ukijifanya mjuaji ukagombana na management ya chuo hawakusemeshi, wanakutumia mwalimu mmoja tu kimya kimya anakuvizia end of semester anakunyonga na Sapu. Ukienda kusapua anakutia tena nyavuni hahah una carry over anakufagia tena, unajikuta mwisho wa siku unarudia semester ama una disco bila umbeya yani.
Hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah jamaa kawanyoosha, hii ni sawa na chuoni ukijifanya mjuaji ukagombana na management ya chuo hawakusemeshi, wanakutumia mwalimu mmoja tu kimya kimya anakuvizia end of semester anakunyonga na Sapu. Ukienda kusapua anakutia tena nyavuni hahah una carry over anakufagia tena, unajikuta mwisho wa siku unarudia semester ama una disco bila umbeya yani.
Pambana nam Aisha yako tu hii kujifanya mwanahafakat jnayfyekqa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wote ni watz.
Tunajuana.

Tofautiaha haki kwenye developed country na huku kajamba nani
Hizi nchi zetu za Ulimwengu wa 3,

Huyo huyo,
Unamwendea ukitegemea akusaidie kupata haki zako.

Yeye mwenyewe ndo kinara wa Kuvunja haki za wenzie kama wewe
tapatalk_1544853514742.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom