Msaada toka kwa wenzetu mlio majuu

Msaada toka kwa wenzetu mlio majuu

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
355
Reaction score
89
Hamjambo wenzangu waTZ mlio majuu?? Naomba msaada wenu, tafadhali. Kama ume-subscribe kwenye Filesonic, Fileserve, etc naomba password tafadhali. Ku-subscribe ukiwa TZ ni ngumu kwa sababu ya ugumu wa kupata dollar. Fast downloading ni muhimu sana huku kwetu, hasa kama una-download kitabu. Kupata hard copies za vitabu huku ni vigumu sana. Naahidi sitaichezea hiyo password.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu hehehe! watu aisee niwachoyo lakini pia hawataki kuhakiwa account zao lakini vile vile hzo zinatolewa daily hacked accounts na utaweza tumia bure kabisa kwa siku iyo just google it na utapata kwa mfano leo ugeandika for filesonic ambazo ndo hua zinapatikana everyday fileserve ni adimu kidogo. kwenye google search:29 august 2011 filesonic premium accounts. nakisha angalia sites ambazo wame post muda au masaa ya karibuni ndo yanayo kubali kwa mfano kwa sasa za website hii All Premium Accounts For Free Updated ndo inakubali.. vile vile apo wamekuandikia username na kwa kupata pass yake unatakiwa uclick apo ifunguke kwny link nyigine sasa apo kuwa makini itafunguka website ina alama ya nyuki hivi sasa apo angalia kulia juu kuna counter inacount subiri mpaka maneno SKIP AD yatokee na utapelekwa kwy webiste yenye username and password link ni Paste2: Next Generation Pastebin - Viewing Paste 1615850.

user name: bok@rapidshop.eu

password: IOUAnaoui

so there u are just fuata jia iyo niliokuonesha na utakuwa unapata accounts free everyday na sio lazima upate kwa web hii na pia inaweza kugoma pia so lazima uangaike mpaka utazipata tu. I hope nime eleweka. na hiyo account working mpaka sasa na pia mpaka kesho itakuwa hikubali tena.
 
mkuu mimi nakukubali sana always upo fast kusaidia wenye shida.Big up sanaaa
 
Back
Top Bottom