Msaada: Tecno hii ina tatizo gani?

Msaada: Tecno hii ina tatizo gani?

Ila ni ushauri tu ndugu, unawezabukapata gharama kubwa sana kuitengeneza, ilihali hiyo pesa ungenunua simu nyingine, mimi nishanunua tecno, samsung, zote zikazingua, na nilipoteza pesa nyingi kutengeneza, yaani fundi akitengeneza leo, kesho tatizo jingine linaibuka,, tena simu ikishakuwa flashed inapoteza ufanisi iliyokuwa nao, so zipo simu nyingi nzuri tu town so better ununue simu mpya dukani kuliko kutengeneza...
 
umeeleweka!
 
naomba mwenye kujua anisaidie kuna simu ya tecno h5 ina tatzo ukizima data inajiuga kisha inaanza kudownload vitu vya ajabuajabu,betri nayo inachemka na kuisha haraka sana,ASANTENI
Kama upo dar niPM, nitakupa msaada na haitorudia tena. Kwa tatzo hilo sio kwa tecno tu, okiondoa iphone zilizobaki sometime zinakumbwa na hilo tatzo
 
sipo dar,labda kama unaweza kunisaidia kwa maelekezo nikiwa hukuhuku nilipo
 
Kuna baadhi ya tecno mtu akituma emoji hasa za Watsap then akaongeza na maneno basi zinabadilisha zile emoji na kuwa vi alama alama ka vi box flan hivi ..
 
Imei haiwezi kubadirika, labda kama ilibadilishwa imei, kubadilisha imei na kuflash simu ni vitu viwili tofauti, hilo tatizo linatoka kilahisi sana
 
poa ngoja nitaenda kuflash nione
 
Factory reset haitoi hao wadudu, wakiingia wanajipa status ya bloatware (application ambazo zinakuja na simu) na asilimia kubwa zinakuwa hazitoki hadi uroot simu, ambapo pia wanaweza wasitoke, njia pekee ya uhakika ni kuflash rom upya
 
hio ni loop ya simu zote za mediatek, malware anajipa root access na kujibadilisha kuwa kama system files, hivyo ku hard reset hakusaidiii sababu hard reset haigusi system files inafuta tu vitu ulivyovieka.

hapo kuna njia 3 kuwatoa
1. flash simu kwa kueka rom mpya
2. tafuta fundi mwenye box atumie ant virus zake watatoka (nimewahi watoa na miracle box cracked)
3. njia ya tatu na ngumu zaidi ni kuwatoa mwenyewe mmoja mmoja

nilichogundua ni kwamba kunakuwa na kirusi mama kinajificha halafu hiki kirusi ndio kinaweka hizo app za ajabu ajabu, ndio maana ukifuta hizo app zinajirudisha sababu hujamgusa kirusi mama anaeleta wengine.

kama unataka kujua zaidi na kuwatoa mwenyewe anza na kwenda setting halafu security halafu device administrator then toa makoro koro yote acha tu device manager

nenda setting halafu apps kagua apps zote toa usizozijua zitoe, ni vyema pia uwe na root utoe system apps usizozijua.

huwa kirusi kina kawaida ya kujibadili sawa na jina maarufu mfano kinaweza kujiita gogle, googlee, gugle, operra etc kinakuchanganya ujue kama ni app maarufu kumbe ni kirusi.

pia kama unamtoa manual kuwa makini ukifuta kimakosa system files unaweza uka corrupt simu na haitafanya kazi hadi uflash
 
Asante sana mtaalam
 
Kuflash sim kwa STOCK ROM sahihi kunamaliza kabisa hili tatizo. Simu inakua mpyaaaaaa, nimefanya mara kadhaa na wahusika had leo wanafurahia. Muhimu utumie stockfom iliyo sahihi
 
Back
Top Bottom