Flashing will solve that problem 100% (tumia scatter file imei zitabaki zilezile)naomba mwenye kujua anisaidie kuna simu ya tecno h5 ina tatzo ukizima data inajiuga kisha inaanza kudownload vitu vya ajabuajabu,betri nayo inachemka na kuisha haraka sana,ASANTENI