cheusimangala_
Senior Member
- Dec 1, 2018
- 114
- 174
Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata!
Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata!
ww pika tu hayo hayo maji yakikauka ndo chapati zenyeweNapika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata!
OK simple Weka Kijiko Kimoja cha Majani Ya Chai, Biliani vijiko viwili, ndimu Ya Unga Usisahau Na Bamia teketeke.Napika chapati za maji na saizi nimejaza maji katika sufuria yapo motoni yanachemka naomba niambie nini kinafuata!