chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,607
- 28,627
Habari zenu wakuu hapa Jamvini,.
Kwa wale mafundi au wataalam wa ujenzi(fundi mwashi) naomba msaada wako, ninategemea kujenga nyumba yangu ndogo ya kawaida kabisa yenye vyumba vitatu na sebule jumla vikiwa vinne, sasa ningeomba kujua gharama za ujenzi huu wa kusimamisha jengo tu bila kupaua bati au kufanya finishing!!!
Mods naombeni msiuhamishe huu uzi wangu ila niweze kupata ushauri kutoka kwa wadau!!