Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
Wakuu unaposhiriki dv lottery visa ni lazima uwe na paspoti mkononi?
Naomba nisaidieni mimi najalibu kujiunga naulizwa jina, emailna education level nikisubmit wananiambia narusiwa kucheza sasa section no 2 naambiwa nilipie sasa hapa nashindwa ntalipiaje na ntajuaje ni sh ngapi nalipia natak kulipiwa kwa western union je ntajuaje account yao nisaidieni wakuu.
Unatakiwa kuwa na soft copy passport size 1 kwaajili ya kuattach wakati wa kujisajili, cha msingi wakati unajaza detail zako hakikisha unajaza taarifa zilizo sahihi.Wakuu unaposhiriki dv lottery visa ni lazima uwe na paspoti mkononi?
mkuu kuishi marekani na kuacha mapori mabichi ya kulima ni utumwa wa fikra wa hali ya juu kabisa wa kuitwa sir.Habari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya dvlottery.state.gov nikakuta barua kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa, lakini ile barua inasema kwamba kuchaguliwa katika mchujo huu haimaanishi kuwa tayari nimepata visa hapana bado kuna hatua nyingine za kufuata ili kuwezesha kupata visa. Pia ile barua inasema kuwa kuna form inaitwa DS-260 Immigrant visa and Alien Registration Application, kwahiyo mpaka sasahivi bado sijaelewa hiyo form ninaipata wapi na baada ya hapo nini kitafuata?, je, ni vitu gani vya kuzingatia ili niweze kushinda na kupata visa. Msaada wenu ndugu zangu ni wa muhimu sana.
Cc: BAK, Nyani ngabu, Mzizi mkavu, ogah, masanja na wengine ambao wanafahamu mambo haya naombeni mniambie. Mbarikiwe sana.
Mkuu ndio umeghairi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sie tunaofanyia ubalozi tulitaka kukujibu,but coz kuna majina umeyapa kipaumbele ngoja waje kukujibu hayo maswali yako...
Umerudi[emoji116]
Mkuu usemacho ni kweli kabisa ila tambua kuwa tunatofautiana mitizamo na kila mmoja ana haki ya kufanya kile anachoona kwake ni sahihi ndio maana nikachagua njia hiyo.mkuu kuishi marekani na kuacha mapori mabichi ya kulima ni utumwa wa fikra wa hali ya juu kabisa wa kuitwa sir.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ukifanikiwa kuenda US, Jitahidi usirudi bongo, ukirudi umetuangusha watanzania
Nimekuelewa sana mkuuUnatakiwa kuwa na soft copy passport size 1 kwaajili ya kuattach wakati wa kujisajili, cha msingi wakati unajaza detail zako hakikisha unajaza taarifa zilizo sahihi.
Tupe mrejeshoUnatakiwa kuwa na soft copy passport size 1 kwaajili ya kuattach wakati wa kujisajili, cha msingi wakati unajaza detail zako hakikisha unajaza taarifa zilizo sahihi.
Hakuna gharama kiongozi.Je kuna gharama zozote kushiriki bahat nasibu hii ndg zang
Hapo kwenye mwenza hata mimi wananichanganya mkuu, ni kama wanalazimisha uwe nae, ukiwa single na huna watoto nafikiri inakuwa mtihani jinsi ya kuombaWadau nisaidieni kitu. Nami niliomba hii kitu lkn majibu hayakuwa poa. Sasa kuna vitu kama vitatu navihisi kuwa vilisababisha mimi kukosa. Kwanza ni kwamba sikuweka details za mwenza (ki ukweli sina mwenza); pili sikuangalia majibu on time so nahisi hata kama ningepata ningekuwa nimecherewa; tatu ni kuhusu kwamba ni bahati nasibu kwa hyo sikubahatika tu. Je mnasemaje kuhusu hizo hisia zangu? Hasa hiyo ya kwanza na ya pili. Nataka next time nisifanye makosa.
Mbona ni kama wanalazimisha uwe na mchumba au mimi ndo sijaelewa?Katika hayo yote uliotaja jibu ni moja tu ni kwamba hukubahatika kuchaguliwa, cha msingi kama ulipata confirmation no wakati ulipoomba ktk maombi ya mwanzo basi tayari ulikuwa na vigezo vya kuchaguliwa, lakini kwakuwa hii ni kama mchezo Wa bahati nasibu basi hukushinda bahati hiyo, Jaribu tena mwaka huu nazani kuanzia mwezi October.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa hujaelewa mkuu, swala la mwenza wanasisitiza uweke details zake ili ikitokea umeshinda uambatane nae coz ukiandika upo single itakuwa ngumu yeye kuku join au itachukua muda mrefu kujoin, hivyo basi wanafanya hivyo coz hawataki kuvunja ndoa za watu.Mbona ni kama wanalazimisha uwe na mchumba au mimi ndo sijaelewa?
pia ni moja ya sheria kwamba, kama ni mwana ndoa alafu ulipocheza hauku sema kama umeoa au kuwa na watoto siku ya kwenda kwa ubalozi hautopata visa utakuwa disqualified coz hukuwa mkweli, na hautopata visa.Utakuwa hujaelewa mkuu, swala la mwenza wanasisitiza uweke details zake ili ikitokea umeshinda uambatane nae coz ukiandika upo single itakuwa ngumu yeye kuku join au itachukua muda mrefu kujoin, hivyo basi wanafanya hivyo coz hawataki kuvunja ndoa za watu.
Hakuna garama yoyote ili mr adi uwe na kigezo chochote kati ya viwili wqlovoviweka. 1. uwe umesoma angalau hadi high school, 2. expérience ya kazi ya miaka 2 walizoziorodhesha kweny instructions zao.Je kuna gharama zozote kushiriki bahat nasibu hii ndg zang
kama unamaanisha passport ya kusafiria, sio lazima uwe nayo mkononi ila ukishashinda ndiyo utaanza mchakato wa kutafuta hiyo passport kwa ajili ya safari coz itahitajika ubalozini.ili mr adi majina yako yawe sana na cheti cha kuzaliwa unayo jiregister siku ya kucheza.Wakuu unaposhiriki dv lottery visa ni lazima uwe na paspoti mkononi?