Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

Habari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya dvlottery.state.gov nikakuta barua kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa, lakini ile barua inasema kwamba kuchaguliwa katika mchujo huu haimaanishi kuwa tayari nimepata visa hapana bado kuna hatua nyingine za kufuata ili kuwezesha kupata visa. Pia ile barua inasema kuwa kuna form inaitwa DS-260 Immigrant visa and Alien Registration Application, kwahiyo mpaka sasahivi bado sijaelewa hiyo form ninaipata wapi na baada ya hapo nini kitafuata?, je, ni vitu gani vya kuzingatia ili niweze kushinda na kupata visa. Msaada wenu ndugu zangu ni wa muhimu sana.
Cc: BAK, Nyani ngabu, Mzizi mkavu, ogah, masanja na wengine ambao wanafahamu mambo haya naombeni mniambie. Mbarikiwe sana.
Hao uliowataja Ungewafuata Inbox Moja kwa moja .
Wht a foolish ... unaomba msaada halafu unakuja na Majina yako hapa. Unatochora ama unataka tujue Status yako ya Maisha
 
Sidhani kama chalii kakosea kwani haujaona pale mwishoni kasema na wengine...

Na kawatanguliza wale pale maana ni watu ambao wamekuwa wakitoa ufafanuzi kwenye hayo mambo.. field za watu zinatofautiana bro..jamaa hajakosea bhana kama kuna unachojua unafunguka kitamsaidia
 
Habari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya dvlottery.state.gov nikakuta barua kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa, lakini ile barua inasema kwamba kuchaguliwa katika mchujo huu haimaanishi kuwa tayari nimepata visa hapana bado kuna hatua nyingine za kufuata ili kuwezesha kupata visa. Pia ile barua inasema kuwa kuna form inaitwa DS-260 Immigrant visa and Alien Registration Application, kwahiyo mpaka sasahivi bado sijaelewa hiyo form ninaipata wapi na baada ya hapo nini kitafuata?, je, ni vitu gani vya kuzingatia ili niweze kushinda na kupata visa. Msaada wenu ndugu zangu ni wa muhimu sana.
Cc: BAK, Nyani ngabu, Mzizi mkavu, ogah, masanja na wengine ambao wanafahamu mambo haya naombeni mniambie. Mbarikiwe sana.
Angalia usije ukaingizwa mkenge na matapeli wa Kinigeria mkuu,wamejaa sana kwenye mtandao.Wakikuambia swala lolote linalohusu kutoa hela decline,na ujue ni matapeli hao.
 
An

Shukrani kwa angalizo Mkuu.
 
Habari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya dvlottery.state.gov nikakuta barua kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa, lakini ile barua inasema kwamba kuchaguliwa katika mchujo huu haimaanishi kuwa tayari nimepata visa hapana bado kuna hatua nyingine za kufuata ili kuwezesha kupata visa. Pia ile barua inasema kuwa kuna form inaitwa DS-260 Immigrant visa and Alien Registration Application, kwahiyo mpaka sasahivi bado sijaelewa hiyo form ninaipata wapi na baada ya hapo nini kitafuata?, je, ni vitu gani vya kuzingatia ili niweze kushinda na kupata visa. Msaada wenu ndugu zangu ni wa muhimu sana.
Cc: BAK, Nyani ngabu, Mzizi mkavu, ogah, masanja na wengine ambao wanafahamu mambo haya naombeni mniambie. Mbarikiwe sana.

Mkuu, hiyo fomu ya DS-260 Immigrant Visa and Alien Registration Application unaifanyia katika tovuti ya uhamiaji kupitia hapa: Online Immigrant Visa Forms

Ukiwa tayari unazo details zote kuhusu hiyo green card unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo:
Diversity Visa 2017 (DV-2017) applicants must have:

  • Internet access
  • Your diversity visa case number
  • The principal applicant’s date of birth
Hivyo unaingia katika sehemu hii:Immigrant Visa - Technical Specification Information Page

Ukifanya hivi wanataka waweke kabisa taarifa zako zote kwenye kanzidata ili waoanishe kila kitu pale utakapokamilisha taratibu zote za kuingia US.

Kila la kheri.
 
Mkuu, hiyo fomu ya DS-260 Immigrant Visaand Alien Registration Application unaifanyia katika tovuti ya uhamiaji kupitia hapa: Online Immigrant Visa Forms

Ukiwa tayari unazo details zote kuhusu hiyo green card unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo:
Diversity Visa 2017 (DV-2017) applicants must have:

  • Internet access
  • Your diversity visa case number
  • The principal applicant’s date of birth
Ukifanya hivi wanataka waweke kabisa taarifa zako zote kwenye kanzidata ili waoanishe kila kitu pale utakapokamilisha taratibu zote za kuingia US.

Kila la kheri.
Shukrani sana kiongozi kwa muongozo wako.
 
Wabongo kwa "uchoyo" na kutafuta visababu kama utetezi hatujambo.

Amewataja hao kama ili kuhimiza notification kwao ili wasome na ikibidi wamsaidie majibu, lakini hakuna zuio kwa yoyote mwenye uelewa kutoa majibu kama anayo.

Msaidieni Ndugu yetu huyo kama mnao uwezo wakufanya hivyo. Acheni kutafuta visingizio.

Umeona wabongo wana roho mbaya kushinda waarabu wa Oman, Mimi nimesoma ombi lake na jina langu halipo Lkn sikufikiria kuwa nimekuwa cut out. Wabongo wakubwa kutafuta visababu ili maendeleo yasimame.
 
Hongera sana Mkuu kwa kupita katika hii hatua ya awali. Mimi pamoja na kuwafahamu baadhi ya Watanzania waliobahatika katika bahati nasibu hii, lakini taratibu za kufuata baada ya kupita hii hatua ya mwanzo sizifahamu.

Ushauri wangu kwako nenda ubalozini ukaulize maswali mengine muhimu ili uweze kukamilisha taratibu zote husika.

Hakikisha unakuwa na umakini wa hali ya juu katika kukamilisha taratibu zote husika vinginevyo kosa moja tu unaweza kuiona bahati yako ya mtende inayeyuka.

Kila la heri na baraka katika kukamilisha taratibu zote husika.

NB: Ukienda ubalozini uwe makini pia unaweza kukutana na mbongo mwenzetu baadhi wana roho mbaya na hivyo kutokuwa na msaada wa kutosha au kukupa msaada nusu nusu.

Habari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya dvlottery.state.gov nikakuta barua kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa, lakini ile barua inasema kwamba kuchaguliwa katika mchujo huu haimaanishi kuwa tayari nimepata visa hapana bado kuna hatua nyingine za kufuata ili kuwezesha kupata visa. Pia ile barua inasema kuwa kuna form inaitwa DS-260 Immigrant visa and Alien Registration Application, kwahiyo mpaka sasahivi bado sijaelewa hiyo form ninaipata wapi na baada ya hapo nini kitafuata?, je, ni vitu gani vya kuzingatia ili niweze kushinda na kupata visa. Msaada wenu ndugu zangu ni wa muhimu sana.
Cc: BAK, Nyani ngabu, Mzizi mkavu, ogah, masanja na wengine ambao wanafahamu mambo haya naombeni mniambie. Mbarikiwe sana.
 
Ingia USA state department website na hizo form zote. Na ingia website ya USA department of Homeland Security unaweza kuziona hizi form. Download. Ukiingia humo search jina la hiyo form na utaiona.. Hongera sana.. Hapo ulipofikia ni ushindi. Mungu akubariki... Karibu kiwanja mjomba.
 
Back
Top Bottom