Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

Hii ninaweza kuipata nikikusudia. Na vipi US. ukifika kuna mapokezi na kupatiwa basic needs Kama Malazi n.k au ukifika utajijua wewe mwenyewe?
Hivyo vitu hupatiwi mkuu, kama upo serious na hii kitu unaweza omba mwaka huu.
 
Sasa hapo si mtu anapaswa awe na angalau 10 millions ili akifika US. asiwe ombaomba!!
Millions kumi si mtaji mzuri tu huku Bongo.
Hii inawafaa wakishua.

Inategemea na malengo yako kama huna malengo ya kuishi US utaona hiyo pesa ni nyingi. Hata hiyo biashara unayoifanya kwa 10 mil inaweza pia ikafa ukawa umepoteza kila kitu.Kwahiyo angalia kipi umelenga kufanya katika maisha yako.
 
Nimekusoma ndugu.
Thanks too much

Habari ya USA?maisha vipi huko?

#MaendeleoHayanaChama
 
Habari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya dvlottery.state.gov nikakuta barua kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa, lakini ile barua inasema kwamba kuchaguliwa katika mchujo huu haimaanishi kuwa tayari nimepata visa hapana bado kuna hatua nyingine za kufuata ili kuwezesha kupata visa. Pia ile barua inasema kuwa kuna form inaitwa DS-260 Immigrant visa and Alien Registration Application, kwahiyo mpaka sasahivi bado sijaelewa hiyo form ninaipata wapi na baada ya hapo nini kitafuata?, je, ni vitu gani vya kuzingatia ili niweze kushinda na kupata visa. Msaada wenu ndugu zangu ni wa muhimu sana.
Cc: BAK, Nyani ngabu, Mzizi mkavu, ogah, masanja na wengine ambao wanafahamu mambo haya naombeni mniambie. Mbarikiwe sana.
Aisee,we differ.Kwa jinsi mambo yanavyo-kwenda mrama kwa sasa US,nisingetamani kabisa kukanyaga mguu US.America is disintergrating right infront of our eyes and it is a such an evil place.They call it the Empire of lies!
 
Aisee,we differ.Kwa jinsi mambo yanavyo-kwenda mrama kwa sasa US,nisingetamani kabisa kukanyaga mguu US.America is disintergrating infront of our eyes and it is a such an evil place.They call it the Empire of lies!
Bora hata usa kuliko nchi ya wadanganyika..huku sio lies tu hadi wizi na unyanganyi wa wazi zidi ya wanachi.

Tz is the land of curse.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bora hata usa kuliko nchi ya wadanganyika..huku sio lies tu hadi wizi na unyanganyi wa wazi zidi ya wanachi.

Tz is the land of curse.

#MaendeleoHayanaChama
Sawa mkuu,kipendacho Roho ndio dawa.Ila,for me,ni bora kuwa nyumbani kwetu Tanzania,whatever the case may be.

Jiwe angavu nimeishi Marekani na Ulaya, tena wakati huo maisha yakiwa mazuri,sio sasa,wala sikuona uzuri wowote!Sembuse sasa wakati Marekani inafirisika and inflation is at it's highest and food rationing is imminent!Haya bwana.

Mwisho kama,unaona Tanzania wananchi wanaibiwa na wananyang'anywa,US ni zaidi,temea mate chini,wewe hujui kabisa US.The US is a NWO Corporation,so it is fully controlled by the NWO,which is a Satanic entity.
 
Angalizo, uwe na dollar za kutosha
Zinakusaidia kuanzia visa, ticket, medical na mengine. Usd 3000 mpaka 5000
 
Sawa mkuu,kipendacho Roho ndio dawa.Ila,for me,ni bora kuwa nyumbani kwetu Tanzania,whatever the case may be.

Jiwe angavu nimeishi Marekani na Ulaya, tena wakati huo maisha yakiwa mazuri,sio sasa,wala sikuona uzuri wowote!Sembuse sasa wakati Marekani inafirisika and inflation is at it's highest and food rationing is imminent!Haya bwana.

Mwisho kama,unaona Tanzania wananchi wanaibiwa na wananyang'anywa,US ni zaidi,temea mate chini,wewe hujui kabisa US.The US is a NWO Corporation,so it is fully controlled by the NWO,which is a Satanic entity.
Unakosea mkuu.. Acha kuamini ushirikina *** NWO Acha watuwapige kazi.. Mimi Babu yangu kabla hajafariki aliniambia angejua kiingereza asingebaki bongo [emoji23] [emoji23]

Yani.. Angeenda nnje kutafuta maisha na mimi ni swala la muda tu

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu,kipendacho Roho ndio dawa.Ila,for me,ni bora kuwa nyumbani kwetu Tanzania,whatever the case may be.

Jiwe angavu nimeishi Marekani na Ulaya, tena wakati huo maisha yakiwa mazuri,sio sasa,wala sikuona uzuri wowote!Sembuse sasa wakati Marekani inafirisika and inflation is at it's highest and food rationing is imminent!Haya bwana.

Mwisho kama,unaona Tanzania wananchi wanaibiwa na wananyang'anywa,US ni zaidi,temea mate chini,wewe hujui kabisa US.The US is a NWO Corporation,so it is fully controlled by the NWO,which is a Satanic entity.

Unajaribu umuelimisha kibuyu huyo USA yake ni ya kwenye movies na series, chinjia baharini pumba tu hapo ndugu yangu walahi [emoji38]
 
Bora hata usa kuliko nchi ya wadanganyika..huku sio lies tu hadi wizi na unyanganyi wa wazi zidi ya wanachi.

Tz is the land of curse.

#MaendeleoHayanaChama

Sema you are the one who is totally cursed walahi [emoji2959]
 
Dàah huu uzi unamadini sna sijui nilikua wapi kuujua

Hongera sna DIBAJI

Nitacheza DV lottery ya 2024 mwaka Huu 2022.

One thing for sure , one day we will meet at USA
Tuko pamoja mkuu, binafsi nimecheza lottery mwaka huu DV 2024..Mungu atusaidie mkuu.
 
Back
Top Bottom