Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

hiyo green card ni nini na inapatikana vipi,vigezo ni vipi ili uweze kuipata?
 
Kwa mwaka huu maombi yataanza kuanzia mwezi October mpaka November.
Based on the information provided, the Entry HAS NOT BEEN SELECTED for further processing for the Electronic Diversity Visa program at this time.
 
Konji StateMan sneaks into female ward to have sex with sick wife

The man reportedly went on to have sex with his wife on her sick bed in the female ward, which also had 10 other patients - all female.

The man reportedly went on to have sex with his wife on her sick bed in the female ward, which also had 10 other patients - all female. (Adamawa State Ministry of Health)

A man sneaked into female ward in a hospital to have sex with his wife, who is on admission in the hospital.

In a report by iHarare News, the unusual incident occurred in the Masvingo Provincial Hospital in Masvingo province of Zimbabwe.

It was also reported that the culprit, a prominent restaurant owner, had argued his way with the nurses into the female ward on the pretence of seeing his sick wife.

The man reportedly went on to have sex with his wife on her sick bed in the female ward, which also had 10 other patients - all female.

Confirming the incident, the Medical Director of the hospital, Amadeus Shamu, said the other female patients, who were disturbed by the moans of the couple called the attention of the nurses who in turn invited a security guard that got the man out of the ward.

It was around 3am that patients who were disturbed by the noise coming from the ecstatic couple reported to the nurses that there was sex in the ward. The nurses summoned a security guard who got the man out of the ward,” Shamu said.

I couldn't refuse my husband sex because he could beat me - Wife

Wife of the restaurant owner, who is at the centre of the scandal, has said she couldn't refuse the sexual demand from her husband despite being sick and on an hospital bed.

iHarare also reported that investigation revealed that the wife had told the nurses that her husband might beat her on her sick bed had she refused his advances.

I could not refuse to have sex with him because I could have been beaten in the presence of patients because he is very violent,”
The wife also said her husband was abusive.

Man sneaks into female ward to have sex with sick wife
 
Mchakato wako unaendeleaje ndugu? Hivi issue ya proof of financial self sufficiency inakuaje kwa TZ embassy..nackia unahitaji kuwa na around 10,000$ or otherwise uwe na sponsor USA
Tayari nipo USA, Hiyo kitu ya financial sufficiency haipo na pia hakuna sababu ya kuwa na sponsor. Muda wa kuomba kwa DV2020 ndio huu kama umejiandaa Fanya mapema kabla muda haujaisha.
 
Tayari nipo USA, Hiyo kitu ya financial sufficiency haipo na pia hakuna sababu ya kuwa na sponsor. Muda wa kuomba kwa DV2020 ndio huu kama umejiandaa Fanya mapema kabla muda haujaisha.
HONGERA MKUU!
 
Tayari nipo USA, Hiyo kitu ya financial sufficiency haipo na pia hakuna sababu ya kuwa na sponsor. Muda wa kuomba kwa DV2020 ndio huu kama umejiandaa Fanya mapema kabla muda haujaisha.
Hongera sana Dibaji! Mi nisha-apply ila kwenye kupitia website mbalimbali ndo nikaona hio issue ya $10,000 na nikataka kujua ubalozini wanakubali uwe na amount kiasi gani as proof of financial self sufficiency. Vipi kuhusu vaccination lazma ufanye zote premier care au unaweza fanya hospital nyingine kusave garama alaf vipimo vilivobaki ndo unafanyia premier care
 
Mkuu ulishapata nawe?
 
Tayari nipo USA, Hiyo kitu ya financial sufficiency haipo na pia hakuna sababu ya kuwa na sponsor. Muda wa kuomba kwa DV2020 ndio huu kama umejiandaa Fanya mapema kabla muda haujaisha.
Naomba uniambie gharama halisi za maandalizi ya safari kwa walioshinda hii lottery mpaka una settle US.
 
Hii ninaweza kuipata nikikusudia. Na vipi US. ukifika kuna mapokezi na kupatiwa basic needs Kama Malazi n.k au ukifika utajijua wewe mwenyewe?
Andaa kama milioni sita kwa kila kitu mpaka unaingia Marekani.
 
Hii ninaweza kuipata nikikusudia. Na vipi US. ukifika kuna mapokezi na kupatiwa basic needs Kama Malazi n.k au ukifika utajijua wewe mwenyewe?
Ukifika upo mwenyewe kaka hawakugaramii chochote. For more info tembelea website ya BritSimon kuna taarifa nyingi za mchakato mzima mpaka ukishafika US.
 
Back
Top Bottom