Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

kama unamaanisha passport ya kusafiria, sio lazima uwe nayo mkononi ila ukishashinda ndiyo utaanza mchakato wa kutafuta hiyo passport kwa ajili ya safari coz itahitajika ubalozini.ili mr adi majina yako yawe sana na cheti cha kuzaliwa unayo jiregister siku ya kucheza.
Barikiwa sana ndugu
 
Msaidieni dogo, kawataja wachache ambao ndio wachangiaji sana humu, ila katutaja na sisi wengine tunaojuwa au la, kuuliza siyo ujinga, mpeni msaada mwenzetu naye akajaribu maisha kule..
 
Habari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya dvlottery.state.gov nikakuta barua kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa, lakini ile barua inasema kwamba kuchaguliwa katika mchujo huu haimaanishi kuwa tayari nimepata visa hapana bado kuna hatua nyingine za kufuata ili kuwezesha kupata visa. Pia ile barua inasema kuwa kuna form inaitwa DS-260 Immigrant visa and Alien Registration Application, kwahiyo mpaka sasahivi bado sijaelewa hiyo form ninaipata wapi na baada ya hapo nini kitafuata?, je, ni vitu gani vya kuzingatia ili niweze kushinda na kupata visa. Msaada wenu ndugu zangu ni wa muhimu sana.
Cc: BAK, Nyani ngabu, Mzizi mkavu, ogah, masanja na wengine ambao wanafahamu mambo haya naombeni mniambie. Mbarikiwe sana.
Hongera mkuu, natumai ulifanikiwa na hii ishu. Ushapata case number kutoka KCC kwa ajili ya interview? Mzee kusanya viambatanisho vyote kuhusu financial status yako. Iwe mashamba, kiwanja, gari, hata friji ukomvert into monetary na labda lawyer assign. Safari bado ni ndefu. Nasikilizia this May nilimchezea mdogo wangu flani hata hajielewi.
 
Ndio mkuu nilipata case no nasubiria kwenda kwenye interview.
 
Safi sana kwa kufika hatua hii ambayo ni muhimu kuliko hatua zooote ulozipitia hapo kabla.

Sasa tumia wakati huu kusoma maelekezo ya namna ya kujiandaa ya Interview kupitia ukarasa huo hapo chini:

Diversity Visa - Prepare for the Interview

Kila la kheri na safari yako ya kwenda kwenye nchi ya ahadi au America Dreamland au New world.
 
Safi sana kwa kufika hauta hii ambayo ni muhimu kuliko hatua zooote ulozipitia hapo kabla.

Sasa tumia wakati huu kusoma maelekezo ya namna ya kujiandaa ya Interview kupitia ukarasa huo hapo chini:

Diversity Visa - Prepare for the Interview

Kila la kheri na safari yako ya kwenda kwenye nchi ya ahadi au America Dreamland au New world.
Ahsante sana mkuu, umetoa msaada mkubwa sana nikitulia nitaipitia hiyo link kwaajili ya kuongeza ufahamu juu mambo mbalimbali ambayo huwa yanaulizwa katika usahili. Ubarikiwe kaka.
 
HABARI WAKUU
NILICHEZA LOTTERY YA 2019 MNAMO TAR 8 OCT 2017 NA NIKAPATA CONFIRMATION NUMBER KABISA, LAKINI LEO NATAKA KUONA STATUS NAAMBIWA INVARID. KWENYE WEBSITE PIA NIMEONA MAELEZO WANASEMA APPLICATION ZA KABLA YA TAR 18 OCT 2017 NI INVARID. SASA NAJIULIZA KWA NINI WALIZI-INVALIDATE HIZO APPLICATION ZA KABLA YA TAR 18?
 
Pole Sana! Kuna tangazo walilitangazaga Sana Hadi kweny website za Ubalozi wait kwamba Kuna shida iliyokea kweny sustem zao. Wakasema zoezi litaanza upya woote waliocheza warudie Tena!
 
HABARI WAKUU
NILICHEZA LOTTERY YA 2019 MNAMO TAR 8 OCT 2017 NA NIKAPATA CONFIRMATION NUMBER KABISA, LAKINI LEO NATAKA KUONA STATUS NAAMBIWA INVARID. KWENYE WEBSITE PIA NIMEONA MAELEZO WANASEMA APPLICATION ZA KABLA YA TAR 18 OCT 2017 NI INVARID. SASA NAJIULIZA KWA NINI WALIZI-INVALIDATE HIZO APPLICATION ZA KABLA YA TAR 18?
Pole sana kiongozi kama alivyokujibu ndugu Ribbosa ni Kelli walitoa tangazo kuwa applicants wote warudie kutuma maombi, nazani hilo tangazo hata humu JF nililiweka kuwakumbusha watu warudie kutuma maombi.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya dvlottery.state.gov nikakuta barua kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa, lakini ile barua inasema kwamba kuchaguliwa katika mchujo huu haimaanishi kuwa tayari nimepata visa hapana bado kuna hatua nyingine za kufuata ili kuwezesha kupata visa. Pia ile barua inasema kuwa kuna form inaitwa DS-260 Immigrant visa and Alien Registration Application, kwahiyo mpaka sasahivi bado sijaelewa hiyo form ninaipata wapi na baada ya hapo nini kitafuata?, je, ni vitu gani vya kuzingatia ili niweze kushinda na kupata visa. Msaada wenu ndugu zangu ni wa muhimu sana.
Cc: BAK, Nyani ngabu, Mzizi mkavu, ogah, masanja na wengine ambao wanafahamu mambo haya naombeni mniambie. Mbarikiwe sana.
Hizo forms ziko hapa chini kwenye link, wewe angalia upande wa immigrant kwa sababu green card ni immigrant visa (watu wanaotaka kwenda kuishi kimojaMarekani) na si non-immigrant visa (watu wanaotaka kwenda kutembea, kufanya biashara, kusoma, kupumzika likizona kisha kurudi kwao)

Forms ziko hapa kwenye link chini, Wanyamwezi forms karibu zote za serikali tunaweka online.

Kama huna pa kufikia nitafute nikupe mahali pakukaa bure miezi yako 6 ya kwanza wakati unatafuta kazi, leseni ya kuendesha gari na kujipanga kuishi Marekani.

Kuwa mwangalifu sana katikakujaza hizo forms na kwenda kwenye usaili wao, hakikisha umejipanga vizuri,ukienda kichwa kichwa wanaweza kukupiga chini hata kama umefanikiwa hatua ya kwanza.

Consular Electronic Application Center
 
HABARI WAKUU
NILICHEZA LOTTERY YA 2019 MNAMO TAR 8 OCT 2017 NA NIKAPATA CONFIRMATION NUMBER KABISA, LAKINI LEO NATAKA KUONA STATUS NAAMBIWA INVARID. KWENYE WEBSITE PIA NIMEONA MAELEZO WANASEMA APPLICATION ZA KABLA YA TAR 18 OCT 2017 NI INVARID. SASA NAJIULIZA KWA NINI WALIZI-INVALIDATE HIZO APPLICATION ZA KABLA YA TAR 18?
Ni kwamba kulitokea shida kwenye mtandao wao na wakasema waombaji warudie tena kuomba,lakini pia walisema wale walioomba wachukulie kuwa maombi yale hayatafanyiwa kazi.
Aione
DIBAJI
 
Back
Top Bottom