- Thread starter
- #21
Ni vyuo vyote au , ebu nieleze. Bado kuna muda kama ni hivyo.H
Hahahahaha dilisha linakalibia kufungwa sisi huku full pressure tuuh tarehe 26 /8/2020 majina yanatoka tunafunga na kusali tuuh kitaha sio poa
Ni vyuo vyote au , ebu nieleze. Bado kuna muda kama ni hivyo.H
Hahahahaha dilisha linakalibia kufungwa sisi huku full pressure tuuh tarehe 26 /8/2020 majina yanatoka tunafunga na kusali tuuh kitaha sio poa
unaanza kuvuka mipaka sasaNioneshe wapi ulipoandika watoto wa ndugu jamaa na marafiki(extended families..)
Inaonesha watoto wa ukoo nzima we ndo unawapangia na kuwaongoza kozi za kusoma, naamini we ndo educated wa kwanza kwenye ukoo wenu Hongera sana
wenzio na nani?Wenzio
Sio vyuo vyote ni vya Afya tuh tena vya serikari tuuh tarehe 15/8/2020 dirisha linafungwa tarehe 26/8/2020 majina yanatoka dah mungu asaidie tuuhNi vyuo vyote au , ebu nieleze. Bado kuna muda kama ni hivyo.
nimeona, actually ni september 15 ndiyo wanafunga, bado muda upo wa kutosha kuombaSio vyuo vyote ni vya Afya tuh tena vya serikari tuuh tarehe 15/8/2020 dirisha linafungwa tarehe 26/8/2020 majina yanatoka dah mungu asaidie tuuh
Ni kweli kwa vyuo binafsi na vyuo vya serikali ambavyo una apply direct chuoni ndio mupaka September huko 15 lakini Nacte jumamosi hii wanafunga dirisha 15/8/2020 sijajua may be na wenyewe wataweka round ya pili let wait and see apply mapema uhakikishiwe kuchaguliwa uandae ada mapemanimeona, actually ni september 15 ndiyo wanafunga, bado muda upo wa kutosha kuomba
ASANTE KWA USHAURI MWEMA. Afya ndiyo wanafunga 15/8. Normally huwa kuna round ya pili lkn kwa vyuo vyenye ushindani nafasi zinajazwa mapema sana!Ni kweli kwa vyuo binafsi na vyuo vya serikali ambavyo una apply direct chuoni ndio mupaka September huko 15 lakini Nacte jumamosi hii wanafunga dirisha 15/8/2020 sijajua may be na wenyewe wataweka round ya pili let wait and see apply mapema uhakikishiwe kuchaguliwa uandae ada mapema