KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
WanaJF mambo vp? Kwemaaa?.Jamani naombeni msaada kwenu wa nini cha kufanya na ni mahitaji gani ya muhimu yanayotakiwa.Jamani ndugu zangu ninahitaji kuanzisha kituo cha radio cha kurusha matangazo kuanzia umbali wa kilomita 3 hadi 5 kwa majaribio kwanza.Baada ya hapo ndio nishughulikie taratibu zinazotakiwa kisheria.Natumai mtanipa msaada wa mawazo pia kiufundi cha nini natakiwa nifanye natanguliza shukrani mimi mwanaJF mwenzenu.