Siku kadhaa zilizopita nimepanda basi nikakutana na kijana moja ambae ndo alikuwa dereva...akatabasamu nikahisi kama alitaka kusema kitu akashindwa..ila the way he looked at me felt like almost he knew me or he knew something about me and i didn't know him...sikujua kama anaongea kiswahili...mm nilikuwa na mwanangu nikamsemesha nikamwambia abonyeze stop..mtoto akafanya hivo basi to my surprise yule mwanaume akaanza kuongea kiswahili usisahau nipo ughaibuni..Since then sikuweza kumtoa kichwani its like i have a crush on him na hata simjui...Siku nyingine nikakutana nae tena..akanisalimia habari nikamjibu lkn sikuweza kusema chochote zaidi ya kwenda kukaa kwenye siti yangu..well wat happened is tht alikosea kuendesha buss kwenye route alokuwa akitakiwa aendeshe ikabidi aambiwe mbona unakoenda siko akasema samahani nimesahau..akazungumza lugha moja ya kigeni ambayo sio ya nchi hii nilokuwepo...na ofcoz sijawahi kumuona hapa before nahisi ni mgeni...sijui hata nimuapproach vipi coz nikimuona napata ganzi..na kila nikikutana nae ni kwenye basi sipati nafasi ya kuongea nae..in 27 years of my life this is the second time i feel this way..PLEASE HELP SITAKI KUFA NA TAI SHINGONI!!:biggrin: