St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,231
si ndio mana nilimwonea huruma shosti yangu King'asti muke ya mukubwa!
i see mi ni mwalimu wa kiswahili ila Kiranga nakaa kando kusema ukweli!jamaa anaijua lugha yake!yaani hakuna kitu kingine mi huwa naangalia kwenye post zake zaidi ya vile anavyotumia misamiati adimu kabisa kutumia kwenye mazungumzo ya kawaida!natamani sana niufikie huo ujuzi!
Naomba niwe rafiki yako maana kuna vitu najifunza katika kila post yako...........